Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

Mtaani tunavijana wengi wanatafuta ajira wenye weledi na uandishi mzur,

Sisemi aondolewe,
Naomba ajirekebishe wasije waka replace uandishi wake
 
Wewe ni Mwanasheria/Mwanahabari, mambo ya kihasibu tuachie wenyewe wahasibu. Sifuri zilizoko upande wa Cents zibakie kua ni Cents, Sio number nzima, lakini kosa jingine pia Sifuri zilizokatwa hazihesabiki. Na Mwishowe hatusemi MillionS.

Kimsingi kwa Mhasibu anaejielewa ange cancel tu hii risiti atoe mpya. Ila Sasa ukute hata mhasibu mwenyewe nae kama wewe tu, hajui kua amekosea, anaona iko Sawa.
Hivyo vyote ni vitu vidogo sana, the most important document ni bank slip. Ingekuwa ni malipo yamepokelewa cash hapo mngekuwa na hoja kwenye bank slip kila kitu kiko right.
P
 
Hiyo risiti ni ya tsh 30,000/=aliyepokea risiti ndo kaibiwa hapo,kwa sababu sifuri za mwisho zimekatwa,
Katoa milioni 30 alafu kapewa risiti ya elfu 30,
aaa eti,,,,thirty milions only ndo nini !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameacha nafasi kibao za digits mbele ya 30,000,000 akaandika kwa kubania hadi kwenye sehemu ya cents. Digits zote za 30,000,000 zingeweza kuenea kama angetumia umakini kidogo
Hata katika maneno kakosea. Ni bora angeandika kwa Kiswahili tu tungemuelewa. Kiasi cha pesa ni shilingi milioni thelathini tu. Unapoandika "thirty millions" una tofauti gani na yule atakayeandika "ten thousands" akimaanisha elfu kumi.
 
Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...

View attachment 1384541

Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
Hata wewe umekosea, tena wewe umekosea zaidi ya karani. Wewe umesema Serikali ya Jamhuri ya Tanzania badala ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa sijui hautambui Muungano kama Zitto au ni kiburi tu kama Membe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom