Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

Mtaani tunavijana wengi wanatafuta ajira wenye weledi na uandishi mzur,

Sisemi aondolewe,
Naomba ajirekebishe wasije waka replace uandishi wake
 
Hivyo vyote ni vitu vidogo sana, the most important document ni bank slip. Ingekuwa ni malipo yamepokelewa cash hapo mngekuwa na hoja kwenye bank slip kila kitu kiko right.
P
 
Chadema ni wajuaji sana kila jambo wanajua na wao ni wajuaji sana ndio maana hujiona wao wana akili kuliko watu wote Tanzania........
Hilo lina ukweli ndio maana wenye nchi mnawaogopa chadema
 
Hiyo risiti ni ya tsh 30,000/=aliyepokea risiti ndo kaibiwa hapo,kwa sababu sifuri za mwisho zimekatwa,
Katoa milioni 30 alafu kapewa risiti ya elfu 30,
aaa eti,,,,thirty milions only ndo nini !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameacha nafasi kibao za digits mbele ya 30,000,000 akaandika kwa kubania hadi kwenye sehemu ya cents. Digits zote za 30,000,000 zingeweza kuenea kama angetumia umakini kidogo
Hata katika maneno kakosea. Ni bora angeandika kwa Kiswahili tu tungemuelewa. Kiasi cha pesa ni shilingi milioni thelathini tu. Unapoandika "thirty millions" una tofauti gani na yule atakayeandika "ten thousands" akimaanisha elfu kumi.
 
Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...

View attachment 1384541

Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
Hata wewe umekosea, tena wewe umekosea zaidi ya karani. Wewe umesema Serikali ya Jamhuri ya Tanzania badala ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa sijui hautambui Muungano kama Zitto au ni kiburi tu kama Membe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…