tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake unahusu Julai, hakusema Julai ya mwaka upi. Kumbuka Tim Clement kafariki miaka mitano na miezi mitatu kabla ya kuibuka kwa vita ya Russia na Ukraine.