tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Hili ni kweli??!🤣Angejua wapo Putin 3. Hata akifa original Putin kopi yake itaendelea kutawala. Usicheze na majasusi ya Kremlin na agenda zao
Angejua wapo Putin 3. Hata akifa original Putin kopi yake itaendelea kutawala.
Sasa hapo si anaongelea CrimeaAnaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake unahusu Julai, hakusema Julai ya mwaka upi. Kumbuka Tim Clement kafariki miaka mitano na miezi mitatu kabla ya kuibuka kwa vita ya Russia na Ukraine.
Amemtabiria putin Orginal hata akiwa kwenye Bunker watamuuwa...Angejua wapo Putin 3. Hata akifa original Putin kopi yake itaendelea kutawala. Usicheze na majasusi ya Kremlin na agenda zao
Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake unahusu Julai, hakusema Julai ya mwaka upi. Kumbuka Tim Clement kafariki miaka mitano na miezi mitatu kabla ya kuibuka kwa vita ya Russia na Ukraine.
Nimewahi kusikia Russia Ina uwezo mkubwa wa cloning na ndio inaongoza kwenye eneo hilo duniani
Nafikiri ndio inakuja hiyo mwezi kesho ngoja tuone.Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake unahusu Julai, hakusema Julai ya mwaka upi. Kumbuka Tim Clement kafariki miaka mitano na miezi mitatu kabla ya kuibuka kwa vita ya Russia na Ukraine.
Putin atajua hajuiAngejua wapo Putin 3. Hata akifa original Putin kopi yake itaendelea kutawala. Usicheze na majasusi ya Kremlin na agenda zao
Beberu yeye huwa anapiga yule Og🤣🤣 tuAngejua wapo Putin 3. Hata akifa original Putin kopi yake itaendelea kutawala. Usicheze na majasusi ya Kremlin na agenda zao
Russia haitasambaratika .Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake unahusu Julai, hakusema Julai ya mwaka upi. Kumbuka Tim Clement kafariki miaka mitano na miezi mitatu kabla ya kuibuka kwa vita ya Russia na Ukraine.
Angejua wapo Putin 3. Hata akifa original Putin kopi yake itaendelea kutawala. Usicheze na majasusi ya Kremlin na agenda zao
Mkuu kwahiyo hao putin watatu watatawala maisha mkuu??Angejua wapo Putin 3. Hata akifa original Putin kopi yake itaendelea kutawala. Usicheze na majasusi ya Kremlin na agenda zao