Ammy Gal alinchanganya mpk nikadhani WCB wanefika bei kwa Dj Fetty..... lile kipindi anakufa AMINA CHIFUPA aliibuka Mtangazaji anatangaza km AMINA... baadae akaachaAmmy gal wa the switch Wasafi FM anamuiga DJ Fetty,
Hivi talent za ukweli hamna these days hadi watangazaji wawe vilaza kama hako ka dada?..Hahaha,utaskia "Awkay awkay",haha alaf et anajiita Mwana unique.
Kwa walio kwenye mainstream right?lakini mbona ata Jonijoo sauti ya bati bovu ana'sound kivyake...Mtangazaji wa Entertainment ambaye ana sound kivyake ni Kenedytheremedy tu..wengine wanabragbrag tu kwa kuigana.
Wanafeli dakika90 ayseeAmmy Gal alinchanganya mpk nikadhani WCB wanefika bei kwa Dj Fetty..... lile kipindi anakufa AMINA CHIFUPA aliibuka Mtangazaji anatangaza km AMINA... baadae akaacha
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kiasi fulani ana sound different..Kwa walio kwenye mainstream right?lakini mbona ata Jonijoo sauti ya bati bovu ana'sound kivyake...
Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka😂😂Hivi talent za ukweli hamna these days hadi watangazaji wawe vilaza kama hako ka dada?..
Kipi lakini sikuhizi kimejaa UONGO, yaani mtu anahadithia vitu vya uongo hata akiulizwa maswali anajikanyaga tu hata anayemhoji anamuuliza kila Mara huo ni ukweli lakini??Nishaacha kusikiliza redio siku nyingi kwa sababu zangu binafsi. Nisingeacha ningekuwa naijua.
Nilikuwa napenda sana kipindi cha Sitasahau(RFA) kila jumapili, kusikiliza simulizi za mbalimbali za maisha ya watu katika hustle.
Ivi hiki kipindi RFA bado kipo?
''Mimi ni Jumaa Ahmed Baragazaa''Hata sijui kabisa mkuu.
Pia Baragaza sijui bado yupo.....?
Maybe,role models wanawa-influence..Millard Ayo pia ana touches za Ryan Seacrest(American top40 host)..Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka[emoji23][emoji23]
Kwa Avatar hiyo nilitegemea utakua unasikiliza TBC pekee.Kuna mtangazaji,..wa abud fm nimemsikiliza kwa umakini mnoo ila nimeshindwa kumuelewa Ni DULA wa East Africa radio au sauti zinafanana tu...mwenye uelewa wa hili Jambo anijuze..
Kabisa man,,Me nilijua ni mimi2 namshtukia Mr. Muyenjwa,,Hahah Loud and Clear,,Ryan kabisaMaybe,role models wanawa-influence..Millard Ayo pia ana touches za Ryan Seacrest(American top40 host)..
Kwahiyo na wewe uliingia mkengeNi kweli aisee,..huyu jamaa Jana usiku nlikuwa namsikiliza nikajua Ni Dulla wa eatv..kumbe anaiga swaga zake tu..
Kwahiyo chali angu na wewe umejitupa kwenye media.Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka[emoji23][emoji23]
Lengo Ni Kupata Vyote Vya KatikatiHahahahahahaaa, unapata vyote vinavyozunguka katikati
Kwahiyo chali angu na wewe umejitupa kwenye media.
Sawa sawa, upo media gani nikututegee sikioKitambo Chaliangu nipo uku
Bado nipo chuo mkuu mwaka wa mwisho,,So waga natangaza2 redio ya Chuo apa Radio SAUT Mwanza 96.1,,Pia naandika Habari kwenye gazeti la chuo 'The Sauttimes'Sawa sawa, upo media gani nikututegee sikio
Safi sana...Bado nipo chuo mkuu mwaka wa mwisho,,So waga natangaza2 redio ya Chuo apa Radio SAUT Mwanza 96.1,,Pia naandika Habari kwenye gazeti la chuo 'The Sauttimes'
Tena Mtiga Abdallah kama Millad Ayo. Haya mambo bwana!Maybe,role models wanawa-influence..Millard Ayo pia ana touches za Ryan Seacrest(American top40 host)..