Je, huyu mtangazaji wa Abood ni Dullah wa EATV/ EA Radio?

Je, huyu mtangazaji wa Abood ni Dullah wa EATV/ EA Radio?

Mtangazaji wa Entertainment ambaye ana sound kivyake ni Kenedytheremedy tu..wengine wanabragbrag tu kwa kuigana.
Kwa walio kwenye mainstream right?lakini mbona ata Jonijoo sauti ya bati bovu ana'sound kivyake...
 
Hivi talent za ukweli hamna these days hadi watangazaji wawe vilaza kama hako ka dada?..
Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka😂😂
 
Nishaacha kusikiliza redio siku nyingi kwa sababu zangu binafsi. Nisingeacha ningekuwa naijua.

Nilikuwa napenda sana kipindi cha Sitasahau(RFA) kila jumapili, kusikiliza simulizi za mbalimbali za maisha ya watu katika hustle.

Ivi hiki kipindi RFA bado kipo?
Kipi lakini sikuhizi kimejaa UONGO, yaani mtu anahadithia vitu vya uongo hata akiulizwa maswali anajikanyaga tu hata anayemhoji anamuuliza kila Mara huo ni ukweli lakini??

Tofauti na zamani, Mimi labda nisikilize JE huu ni UUNGWANA??? jumapili kuanzia saa 2-3 asubuhi.
 
Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka[emoji23][emoji23]
Maybe,role models wanawa-influence..Millard Ayo pia ana touches za Ryan Seacrest(American top40 host)..
 
Kuna mtangazaji,..wa abud fm nimemsikiliza kwa umakini mnoo ila nimeshindwa kumuelewa Ni DULA wa East Africa radio au sauti zinafanana tu...mwenye uelewa wa hili Jambo anijuze..
Kwa Avatar hiyo nilitegemea utakua unasikiliza TBC pekee.
Kumbe na Abood radio unasikiliza hongera mkuu
 
Maybe,role models wanawa-influence..Millard Ayo pia ana touches za Ryan Seacrest(American top40 host)..
Kabisa man,,Me nilijua ni mimi2 namshtukia Mr. Muyenjwa,,Hahah Loud and Clear,,Ryan kabisa
 
Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka[emoji23][emoji23]
Kwahiyo chali angu na wewe umejitupa kwenye media.
 
Bado nipo chuo mkuu mwaka wa mwisho,,So waga natangaza2 redio ya Chuo apa Radio SAUT Mwanza 96.1,,Pia naandika Habari kwenye gazeti la chuo 'The Sauttimes'
Safi sana...

Pambana Dogo, utatoboa ukitia nia.
 
Back
Top Bottom