Je Huyu mtoto nimute Trump?

Hahaha kwamba ana uhusiano gani na Trump sas,
Emb angalia jina zuri lenye maana hata kiimani.
 
Muite LUBANGO jina la kibantu safi kabisa likiwa na maana ya BARAKA
 
Mkuu kwa vile mtoto kazaliwa Afrika ebu muite Jammeh uweke kumbukumbu sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…