Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwakatrumpHahaha nipo Mbeya
amna ngoja amuite dogo trump ....huenda tz tukapata neemaUshauri kuntu kabisa, asije kujipa ubaba kwa mtoto wa mwanaume mwenzie buuuree!
[emoji12][emoji12][emoji16][emoji16][emoji16]
eh bwana,eh...yani mnaacha kupeana majina kwa asili yenu mnafata matukio? yani ni kama hamna asili ya majina,so kama mwaka mtoto amezaliwa hakuna tukio lolote then?Sisi huwa tunawapa watoto majina kutokana na mtukio. Mfano ndege ni Kile kipindi Ndege zilipita kuchora ramani