Je Huyu mtoto nimute Trump?

Je Huyu mtoto nimute Trump?

We dini.gani??
Maama.dini nazo huwa zinashangaza sana
 
Muite Lema, maana ndio shujaa wetu kwa sasa Tz
 
Sisi huwa tunawapa watoto majina kutokana na mtukio. Mfano ndege ni Kile kipindi Ndege zilipita kuchora ramani
eh bwana,eh...yani mnaacha kupeana majina kwa asili yenu mnafata matukio? yani ni kama hamna asili ya majina,so kama mwaka mtoto amezaliwa hakuna tukio lolote then?
 
Back
Top Bottom