Je huyu mwanamke anafaa kuoa?

wanaume wa aina hii huwa wananikera sana sijui tatizo lao ni nn??
mtu kaamua kukueleza ukweli wa maisha yake unaanza kuleta second guessing ya maamuz yako mwenyewe..
hivi kwa generation hii tuliyopo hujui ni wanawake wachache wanaoamua kumwambia mtu ukweli wa maisha yake?? kasoro namba ya MAEX wake atakudanganya,,,hii ni given kama fomula kwenye hesabu...
sasa sijui angekaa kimya na ungekuja kujua baadae sijui ungeamuaje?? nadhan ungekuja humuhumu kuuliza tena??
ANAFAA KUOA,CHUKUA MKE KIJANA kama huwez UMBA WAKO..
 
Wewe unaonaje?
Mpaka kafunguka ujue amekuoenda kwa dhati

Mwanamke mwengine atakwambie wewe ji boyfriend wake wa 3 kumbe kiuhalisia anajaza fuso 3
 
kikubwa kachukueni vipimo kisha muanze maisha otherwise wengi wana hali mbaya zaidi ya huyo ila hawasemagi tu. kikubwa ushampenda huo ndo ulinzi wako
 
Shukuru umempata mkweli kuliko ungeyasikia ukiwa ushamweka ndani
Inaonyesha umekatishwa tamaa na past histry yake,pole
Kama una nia ya kweli kuwa mvumilivu na mchunguzane vya kutosha....anekupenda kwa dhati na anakuamini ndo mana akakwambia
Kama haikua tabia yake (kutumia mwili ili kupata mahitaji) na kibinadamu kubakwa sio hiyari yake ni mazingira alokua anaishi hayakuwa na usalama kwake

Ongea na moyo na akili yako,naamini maamuzi ya mwisho unayo wewe
 
Men love women with a good past, But women love men with a good future...But still dont judge a woman for her past, simply b'cause she aint live there anymore, you just offer her a chance to see how truthworth and faithful she is........

"He who is not courageous enough to take risks will accomplish nothing in life" by Muhamed Ally
 
mh! hizi fursa nyingine hizi!!"...........
 

Wanandoa wote wangejua historia za wenziwao kabla ya kuoana labda ni asilimia ndogo sana hizo ndoa zingefanyika. Huyo kaeleza yake hataki uje uyapate kwa wengine siku za usoni. Fanya uamuzi. Kama ni ushauri wangu - chukua mzigo.
 
heri huyo anaesema ukweli anafaa kuwa mke ila mkapime kwanza
 
heri huyo anaesema ukweli anafaa kuwa mke ila mkapime kwanza

may be mechi zishachezwa kavukavu na huyo mpenziwe si itakuwa hatari mtu anafunguka ukweli kumbe kashamuambukiza
 
Usidhani ni mchezo tu kuishi na mwenza ambaye amepitia mambo magumu kama hayo. Kama hakika unampenda, ndio utaweza kumvumilia. Kwanza jua kabisa hatakuwa anapenda tendo la ndoa, jiandae kisaikolojia. Na utahitaji kujifunza kumuamini (ni dalili nzuri amekuwa wazi kabisa).


ushauri wa kawaida kwa kijana yeyote, umeanza kuhusiana nae mwezi tu unataka kwenda nyumbani kwao? Kuwajua tu ama kupeleka posa? Chukua muda mrefu kumjua zaidi, mwezi hautoshi.
 
 
Kaka kapata fursa kama umemkuta na tabia nzur nahc alifanya hayo mengne kwa shida ili afike hatua fulani ila nakushauri kama katulia chukua mzgo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…