Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .
Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .
Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .