Je, huyu ndiye best first lady of All time?

Je, huyu ndiye best first lady of All time?

Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .

Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .​
View attachment 2998996

Yah. Siyo kama hawa wetu wanaotaka maslahi eti kwa kuwahudumia Wenza wao. Imagine huyu akae na Salma sijui ataongea nini..... Ni kama Maji na Mafuta.
 
huku tukibubujikwa na machozi ya furaha
🤣🤣🤣🤣
@ephen
😃😃😃😃 Itafika siku na wewe watu watakuwa wanakusikiliza ukiongea kama huyo First lady halafu wakina analyse wanakuwa wamekodoa macho utafikiri wameingiwa na mchanga machoni
 
Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .

Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .​
View attachment 2998996
Kuna nchi First lady wanaomba kinua mgongo Kama mwajiriwa rasmi wa serikali
Huku mwenza wake naye akilipwa mamillion ya Kodi za watu maskini ambao hawana hata kipato Cha uhakika wa Milo mitatu
Kwa hiyo sio first lady wote wa africa
 
Hakuna kichwa hapo. Ni mpiga maneno kama wengine tu. Kafanya ama kagundua nn cha kupigiwa mfano?
Angalau anajua kinachotakiwa kufanywa
Suala la utekelezaji sio la kwake

Kuna wengine ukiwauliza ushauri wake kwa rais hata hajui
Au muulize yule wa awamu ile
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom