Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Nimependa jinsi alivyo mremboNi kichwa balaa nimemsikiliza vyema .kama unazo zingine embu tupia hapa. Au kama vipi nitatafuta Mwenyewe hata yuotube.
cc ephen
๐๐๐๐ Itafika siku na wewe watu watakuwa wanakusikiliza ukiongea kama huyo First lady halafu wakina analyse wanakuwa wamekodoa macho utafikiri wameingiwa na mchanga machoni.Nimependa jinsi alivyo mrembo
Tatizo kubwa ni ukosefu wa elimu. Mifumo yetu ya TISS ilijengwa si kwa weledi wa uwezo wa akili hapo mwanzo bali ulikuwa based on kufahamiana matokeo yake walishindwa kuja na model ya ujasusi wa kiuchumi. Na ni kweli wakoloni walivyoondoka mifumo yao ya TISS iliendelea kufanya kazi mpaka leo kwa kuwa na ule mfumo wa kikoloni kuwa ukikiuka wanakuua ila kama nchi tulipaswa tuwe na mkakati wa kwetu wa ujasusi wa kiuchumi. Mi naamini kipo kizazi kitakuja kitakataa haya yote ila siyo kizazi chetu hiki cha uchawa na kuogopa.Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .View attachment 2998996
Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .
Aisee..Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .View attachment 2998996
Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .
Mwashambwa hujaelewa chochote acha uongo wewe ni mweupee nakujua vizuri tangu lini ukajua kingrezer we jamaa?Ni kichwa balaa nimemsikiliza vyema .kama unazo zingine embu tupia hapa. Au kama vipi nitatafuta Mwenyewe hata yuotube.
cc ephen
The end justifies the means bro. Ndio anaanza ushamsifia? Kawaulize Wazambia walivyomsifia Rais wao Hakainde Hichilema alipoingia madarakani na kuanza kuongea maneno mazuri mazuri. Leo kawaulize!!Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .View attachment 2998996
Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .
Nimeogopa sana nilivyosikia umemzidi uremboNimependa jinsi alivyo mrembo
Angalau amejaribu kueleza, kuna viongozi hayo maneno kuyatamka tu wanapona ni kama matusi.Tofautisha katฤฑ ya Maneno na Vitendo.
๐๐๐๐Acha dharau wewe๐๐๐Mwashambwa hujaelewa chochote acha uongo wewe ni mweupee nakujua vizuri tangu lini ukajua kingrezer we jamaa?
HakikaAisee..
What a Woman.
She is the President in her.
Hii nchi watu wake wana IQ kubwa na sio machawa hata kidogoNimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .View attachment 2998996
Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .