Je huyu ni msanii gani?

kwani lazima awe msanii? mbona mi namuona kama mwanazuoni flani aliyenyimwa fursa ya ku-weka nadharia zake katika vitendo?
 
Wasiwasi wangu ni hiyo kamba inayoonekana hapo asiwe anatoka Iringa hivi akadu the needful. Lakini nadhani yuko poa kabisa. Enzi za Mwalimu hawa ndiyo walikuwa wanatengeneza amani na utulivu
 
Kama Kanumba vile lakini sijui hii ni kwenye filamu gani. Hapo kafanana na msomi aliyekosa ajira.. lol
 
Wasiwasi wangu ni hiyo kamba inayoonekana hapo asiwe anatoka Iringa hivi akadu the needful. Lakini nadhani yuko poa kabisa. Enzi za Mwalimu hawa ndiyo walikuwa wanatengeneza amani na utulivu

Mkuu unanikumbusha zile Novel zetu maarufu za mzee Musiba - sterling wake Willy Gamba.
 
Wasiwasi wangu ni hiyo kamba inayoonekana hapo asiwe anatoka Iringa hivi akadu the needful. Lakini nadhani yuko poa kabisa. Enzi za Mwalimu hawa ndiyo walikuwa wanatengeneza amani na utulivu
MJM umenikumbusha yulee jamaa alikuwa analala pale Posta iringa akiitwa "Nguru", kutwa akimtukana Nyerere na hakuwahi kukamatwa mpaka alipotoweka baada ya kumaliza misheni zake ndipo wakazusha eti alikuwa usalama wa taifa. nikumbushe yuko wapi siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…