Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanumba
hahahahahaha heeeeHaswaaa!
Wasiwasi wangu ni hiyo kamba inayoonekana hapo asiwe anatoka Iringa hivi akadu the needful. Lakini nadhani yuko poa kabisa. Enzi za Mwalimu hawa ndiyo walikuwa wanatengeneza amani na utulivu
MJM umenikumbusha yulee jamaa alikuwa analala pale Posta iringa akiitwa "Nguru", kutwa akimtukana Nyerere na hakuwahi kukamatwa mpaka alipotoweka baada ya kumaliza misheni zake ndipo wakazusha eti alikuwa usalama wa taifa. nikumbushe yuko wapi siku hizi?Wasiwasi wangu ni hiyo kamba inayoonekana hapo asiwe anatoka Iringa hivi akadu the needful. Lakini nadhani yuko poa kabisa. Enzi za Mwalimu hawa ndiyo walikuwa wanatengeneza amani na utulivu