Je, Ibrahim Bacca wa Yanga FC ni mwanajeshi? Majukumu yake Jeshini anatekeleza wakati gani

Je, Ibrahim Bacca wa Yanga FC ni mwanajeshi? Majukumu yake Jeshini anatekeleza wakati gani

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
639
Reaction score
1,919
Zanzibar,

Kwa mujibu wa msemaji wa Yanga ndugu Ally Kamwe mchezaji wao wa kati Ibrahim Bacca ni mwanajeshi wa KM Zanzibar hivyo ameomba mashabiki wa Yanga waliopo kwenye vyombo hivyo siku ya BACCA day tarehe 02 , December 2023 waje kumsupport mwenzao na magwanda yao uwanjani

Kwa mujubu wa Rais wa Yanga engineer Hersi amesisitiza ibrahim Bacca walimsajili yanga akiwa hana nafasi ya kucheza lakini uvumilivu wake na mazoezi vimemfanya awe moja ya central defend wa kutegemewa Yanga

Aidha ameomba raia wa kawaida watakaopenda pia juu wavae T shirt za Yanga na msuri au wavae kanzu kumsupport ibrahim Bacca na utamaduni wake wa zanzibar

Je? ni muda gani ibrahim Bacca anatekeleza majukumu yake ya kijeshi ili hali ligi ina mzunguko wa zaidi ya mwaka
 
Ndo jeshi gani hilo au mgambo wa zenji
Kuna wanajeshi wengi tu huku bara wapo Jeshi la KM zanzibar

Wema Sepetu ,Baba yake amekuwa mwanajeshi huko miaka nenda rudi mpaka alipofariki ingawa yeye ni mtu wa Singida

Neno mgambo ni jina tu hata lile jeshi la israel IDF na vifaa vya kisasa na teknolojia kubwa linaitwa jeshi la wanamgambo wa israel

Una shida na neno mgambo?
 
Wema sepetu. Baba,Israel , kufariki,Singida ndo nini sasa ?

Hemu pita kambi ya jeshi uki wakutana wale jamaa uwaite mgambo kama ni jina tu .
 
Wema sepetu. Baba,Israel , kufariki ndo nini sasa ?

Hemu pita kambi ya jeshi uki wakutana wale jamaa uwaite mgambo kama ni jina tu .
Akili zako ni za pwagu,Wewe sio muajiriwa wa TISS lakini unataka upite ofisi za TISS ?

Halafu kwani hujui Tanzania tuna Majeshi yafuatayo.

Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la wananchi Jwtz
Jeshi la migambo na akiba
Jeshi la uhamiaji na zimamoto
Jeshi la kujenga Taifa JKT

Kikosi cha wanamaji zanzibar(Kikosi maalum cha kuzuia Magendo) KMKM zanzibar

Na kuendelea............

Sasa wewe kwa mawazo yako unafikiri Jeshi ni JWTZ peke yake ,

Hayo majeshi yana majukumu tofauti tofauti na kila jeshi hapo lina mkubwa wao
 
Mimi pwagu afu wewe pwaguzi .kwenye ayo majeshi wema sepetu ndo general au ana husika nini .una taja vitu irrelevant visivyo na kichwa wala miguu .

Afu hao KM sija waona apo nilizani utakua na detail za majeshi ya Zanzibari kumbe na wewe ni mweupe tu
 
Ongezea Jeshi hatari na makini JUTZ (Jeshi la Uhifadhi Tanzania)
 
AS Far rabbat ya wanajeshi na wanapiga kazi vizuri..

Ruvu shooting makazi yao yalijua kambini kabisa kuna wajeda humo walikua wanacheza Ligi na kazi wanapiga vizuri.

Jkt Tanzania,
Polisi TZ,Tz Prisons zote hizi zinafanyia mazoezi kambi za kijeshi na kuna wanajeshi wanacheza humo

Ukienda kwenye Boxing ndo wamejaa wajeda wakiongozwa na Selemani kidunda ambae anaingiaga na gari za jeshi kabisaa.

Jeshi ni Ukakamavu..So limeipa Michezo Nafasi na Kipaumbele.Jeshini kuna Vetting kama ambavyo vetting inafanywa kuanzia JKT..Wakikuona unakipaji cha Michezo aina yoyote wanakithamini na kuhakikisha unafika mbali..So suala la Majukumu ya Kijeshi utapunguziwa majukumu vilevile Utapunguziwa Mshahara lakini Misingi ya kijeshi utaendelea kuifata kama kawa.

Michezo(hasa mpira) imejaa wanajeshi wengi sana hata huko Duaniani Rugby ya US inaongoza kwa kuajiri wachezaji ambao ni wanajeshi

Pia Ulaya kuna beki wa Bayern anaitwa KIM ni mkorea kila akipata likizo(International break) anarudi korea kuripoti kambini...So majukumu wamepunguziwa na mshahara vilevile..
 
Mimi pwagu afu wewe pwaguzi .kwenye ayo majeshi wema sepetu ndo general au ana husika nini .una taja vitu irrelevant visivyo na kichwa wala miguu .

Afu hao KM sija waona apo nilizani utakua na detail za majeshi ya Zanzibari kumbe na wewe ni mweupe tu
Punguza kutoa Povu mkuu,Jikite kwenye thread
 
Kuna yule Refa mshika kibendera anaitwa Komba kwenye ligi kuu Bongo.. yeye ni captain wa jeshi la polisi na kuna muda yuko bize kabisa na majukumu ya kimpira zaid. Nadhan kuna namna wanapewa ruhusa bila kuathiri kazi zao walizoajiriwa kwenye usalama.
 
Mimi pwagu afu wewe pwaguzi .kwenye ayo majeshi wema sepetu ndo general au ana husika nini .una taja vitu irrelevant visivyo na kichwa wala miguu .

Afu hao KM sija waona apo nilizani utakua na detail za majeshi ya Zanzibari kumbe na wewe ni mweupe tu
Umelewa au njaa imekushika?
 
Back
Top Bottom