Je, Ibrahim Bacca wa Yanga FC ni mwanajeshi? Majukumu yake Jeshini anatekeleza wakati gani

Je, Ibrahim Bacca wa Yanga FC ni mwanajeshi? Majukumu yake Jeshini anatekeleza wakati gani

Zanzibar,

Kwa mujibu wa msemaji wa Yanga ndugu Ally Kamwe mchezaji wao wa kati Ibrahim Bacca ni mwanajeshi wa KM Zanzibar hivyo ameomba mashabiki wa Yanga waliopo kwenye vyombo hivyo siku ya BACCA day tarehe 02 , December 2023 waje kumsupport mwenzao na magwanda yao uwanjani

Kwa mujubu wa Rais wa Yanga engineer Hersi amesisitiza ibrahim Bacca walimsajili yanga akiwa hana nafasi ya kucheza lakini uvumilivu wake na mazoezi vimemfanya awe moja ya central defend wa kutegemewa Yanga

Aidha ameomba raia wa kawaida watakaopenda pia juu wavae T shirt za Yanga na msuri au wavae kanzu kumsupport ibrahim Bacca na utamaduni wake wa zanzibar

Je? ni muda gani ibrahim Bacca anatekeleza majukumu yake ya kijeshi ili hali ligi ina mzunguko wa zaidi ya mwaka
Ameomba likizo bila malipo....miaka 2 na kila ikiisha ruksa kuongeza..

Una lingine ??
 
Backa mpk 2027...
 
Back
Top Bottom