katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Umekuwa na mpenzi wako wa mtandaoni ambaye hamjawahi kuonana na akaomba umtumie picha. Ukamtumia picha mbili moja ya mwingine na nyingine yako.
Akimchagua na kuonekana kuvutiwa na ile isiyo yako utajisikiaje?
Akimchagua na kuonekana kuvutiwa na ile isiyo yako utajisikiaje?