Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Na kwa nini umtumie mtu picha yako ambaye hujawahi kumuona, unauhakika gani kuwa anaitaka hiyo picha kwa nia njema! acha haraka, subiri muonane! ndo maana watu wanakuta picha zao zimerushwa mitandaoni na caption za ajabu ajabu!