Je, ikikutokea hivi utachukua hatua gani?

Je, ikikutokea hivi utachukua hatua gani?

Na kwa nini umtumie mtu picha yako ambaye hujawahi kumuona, unauhakika gani kuwa anaitaka hiyo picha kwa nia njema! acha haraka, subiri muonane! ndo maana watu wanakuta picha zao zimerushwa mitandaoni na caption za ajabu ajabu!
 
That's it!!!I know I'm not cute ila natambulishika
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]
U- cute wa mtu upo machoni kwa mtu[emoji3] [emoji3] hakuna binadamu mbaya
 
Sifa kubwa ya mwanamke ni kujiamini na kujikubali vingine mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom