katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Kujiongeza ni muhimu hata harusi yako huwezi tafuta bestman handsome kuliko weweSasa utatumaje picha ya mtu mzuri kuliko wewe?
ndio ushalikosa danga ivyo....poleUmekuwa na mpenzi wako wa mtandaoni ambaye hamjawahi kuonana na akaomba umtumie picha. Ukamtumia picha mbili moja ya mwingine na nyingine yako.
Akimchagua na kuonekana kuvutiwa na ile isiyo yako utajisikiaje?
kabisa..utakuwa umeyataka mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo unalaumu nn tena??Umekuwa na mpenzi wako wa mtandaoni ambaye hamjawahi kuonana na akaomba umtumie picha. Ukamtumia picha mbili moja ya mwingine na nyingine yako.
Akimchagua na kuonekana kuvutiwa na ile isiyo yako utajisikiaje?
ana bet huyukabisa..
Na ayakuwa kajihisi vibaya sanaSasa si ulituma mwenyewe picha mbili...
Hukujiamini toka mwanzo acha tu achaguliwe mwenzio
Yaani wadada hatutaki kua sisi km sisiNa ayakuwa kajihisi vibaya sana