Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Ila huyu gwajiboy ni mtu mbaya sana, ndiye alimuingiza chaka dhalim kuidharau Corona na akamdanganya kuwa hata ikimpitia yeye anayo karama ya kufufua wafu na atamfufua yalipomkuta ya kumkuta akauchuna kana kwamba hajui kufufua wafu.
 
Which haitotokea na huo ndio ukweli. Nothing will happen
 
Ila huyu gwajiboy ni mtu mbaya sana, ndiye alimuingiza chaka dhalim kuidharau Corona na akamdanganya kuwa hata ikimpitia yeye anayo karama ya kufufua wafu na atamfufua yalipomkuta ya kumkuta akauchuna kana kwamba hajui kufufua wafu.
Mkuu umenichekesha sana. Gwajiboy sio Mtu kamponza mwenzake kachomoka yeye anadunda.[emoji23][emoji23]
 
Atakuwa ni rais mstaafu.
 
Wanatamani kwa kuwa hawajapa madhila yaliyoipata private sector ya TZ, tena kwa Kenya ukiibana private sector ndiyo umeua uchumi wao wote.
Utamu wa ngoma uingie ucheze.
 
Hi thread ya kumdharau Hayati
na JF wameiacha mpaka mda huu
 
Magufuli akifufuka moja kwa moja ikulu, hakuna mpumbavu yeyote atazuia hilo...walamba asali watakufa kwa presha
Atakuwa zombie, imagine alikuwa kichaa before sasa ukiongeza na u-zombie [emoji3446] [emoji3444] ndiyo atajiua mpaka yeye mwenyewe ili awe anakufa na kufufuka.
 
Kwa utafiti wangu,

Wanaomtaja Magu Kwa mabaya ni kundi dogo sana,

Nimebahatika kuifuatilia mikutano ya hivi karibuni ya CDM under Mnyika na Heche, pia mikutano ya CCM ground,

Magu Bado ni TURUFU ya Chaguzi zijazo nchini ktk majukwaa ya kisiasa.
Wanaomtaja kwa mema ndiyo wachache tena mostly ni sukuma gang kwani hata wewe ni mmoja wa sukuma gang.
 
Wanaomtaja kwa mema ndiyo wachache tena mostly ni sukuma gang kwani hata wewe ni mmoja wa sukuma gang.
No halipo kundi Hilo ndugu, ni kundi la kufikirika.

Wote tunanunua Mchele 3500, so ukisema lipo kundi kubwa la watu maskini wanaomkumbuka Magu aliyesaidia wakanunua Mchele 800 Kwa kilo nitakubaliana nawe.

Utawala wa Magu angalau tuliweza kula Milo 3.
 
Acha bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…