Je, ikitokea unatakiwa kufunga ndoa sehemu mlipokutana na mpenzi wako utafungia wapi?

Kichangiri

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
331
Reaction score
675
Mimi kwenye daladala nakumbuka siku hiyo nilitoka town Arusha naenda morombo kula nyama. Dah sijui ndoa ndani ya daladala itawezekana au laa[emoji23]
 
Wala hutohitaji gari la kukodi zaidi ya kuwaandalia mpunga2 abiria wa mwisho wa gari
 
Itafungwa JamiiForum mtaa wa Pm.
Pia kwenye Treni.
 
Kwenye simu baadae stand alipokuja kunipokea usiku
 
Back
Top Bottom