Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zinazoendelea nchini kwa sasa, vyama mbalimbali vya siasa vimekuwa vikiwasilisha sera zitokanazo na Ilani zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya kuongoza.
Lakini swali muhimu la kujiuliza, Je, Ilani hizo zinaeleza kwa usahihi utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (Dira 2050), au ni propaganda zinazolenga kuvutia Wananchi ambao ndio wapiga Kura kwa muda mfupi?
Kwa kuwa Dira 2050 inalenga maendeleo jumuishi, ustawi wa watu, uchumi wa viwanda unaojali mazingira na haki, ni muhimu kuangalia kama ahadi za kisiasa zinakwenda sambamba na malengo hayo ya muda mrefu — au ni porojo za kisiasa zisizo na muktadha wa sera endelevu.
Soma