Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kama dira ya 2020 iliota mbawaKatika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zinazoendelea nchini kwa sasa, vyama mbalimbali vya siasa vimekuwa vikiwasilisha sera zitokanazo na Ilani zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya kuongoza.
Lakini swali muhimu la kujiuliza, Je, Ilani hizo zinaeleza kwa usahihi utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (Dira 2025), au ni propaganda zinazolenga kuvutia Wananchi ambao ndio wapiga Kura kwa muda mfupi?
Kwa kuwa Dira 2050 inalenga maendeleo jumuishi, ustawi wa watu, uchumi wa viwanda unaojali mazingira na haki, ni muhimu kuangalia kama ahadi za kisiasa zinakwenda sambamba na malengo hayo ya muda mrefu — au ni porojo za kisiasa zisizo na muktadha wa sera endelevu.
Kwanza ile dira si ni ya ccm? Vyama vingine vilhusishwa kuiandaa?Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zinazoendelea nchini kwa sasa, vyama mbalimbali vya siasa vimekuwa vikiwasilisha sera zitokanazo na Ilani zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya kuongoza.
Lakini swali muhimu la kujiuliza, Je, Ilani hizo zinaeleza kwa usahihi utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (Dira 2025), au ni propaganda zinazolenga kuvutia Wananchi ambao ndio wapiga Kura kwa muda mfupi?
Kwa kuwa Dira 2050 inalenga maendeleo jumuishi, ustawi wa watu, uchumi wa viwanda unaojali mazingira na haki, ni muhimu kuangalia kama ahadi za kisiasa zinakwenda sambamba na malengo hayo ya muda mrefu — au ni porojo za kisiasa zisizo na muktadha wa sera endelevu.
Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zinazoendelea nchini kwa sasa, vyama mbalimbali vya siasa vimekuwa vikiwasilisha sera zitokanazo na Ilani zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya kuongoza.
Lakini swali muhimu la kujiuliza, Je, Ilani hizo zinaeleza kwa usahihi utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (Dira 2025), au ni propaganda zinazolenga kuvutia Wananchi ambao ndio wapiga Kura kwa muda mfupi?
Kwa kuwa Dira 2050 inalenga maendeleo jumuishi, ustawi wa watu, uchumi wa viwanda unaojali mazingira na haki, ni muhimu kuangalia kama ahadi za kisiasa zinakwenda sambamba na malengo hayo ya muda mrefu — au ni porojo za kisiasa zisizo na muktadha wa sera endelevu.
CCM wanataka maridhiano na vyama pinzani baada ya uchaguzi, yaani baada ya kujipitisha kwenye uchaguzi wa kiini macho, (picha ya kihindi)Kwanza ile dira si ni ya ccm? Vyama vingine vilhusishwa kuiandaa?
CCM wanataka maridhiano na vyama pinzani baada ya uchaguzi, yaani baada ya kujipitisha kwenye uchaguzi wa kiini macho, (picha ya kihindi)
Nimeipenda zaidi ya matrekta kwa idadi ya milioni 10Kama vile haitoshi wanaongelea siku 100 madarakani hali wapo miaka 60+:
Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!