Je, ilikuwa sahihi kwa Rais kuiasa hadharani familia ya Mzee Mwinyi isigombane?

Nimeshuhudia hizi vita kwenye familia za mitara ( familia yetu pia) na nikaweka azimio nilipofika form three kwamba nitappambana kadri ya uwezo wangu watoto wangu wawe wa mama mmoja. Kwa sasa nina mke na watoto wawili huku nikiendelea kujichunga na Mungu anisaidie
 
Hussein Mwinyi anazaliwa na mama Sitti mke mdogo.
Hussein ana wakubwa zake kwa mama mkubwa Hadija.Pengine tu nikumegee Hussein ni watoto wale wa mwisho mwisho wa mzee Mwinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…