Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
tujikumbushe ile nyimbo ya msondo ngoma
"Tunatoana roho yarabi kwa mali ...."
"Tunatoana roho yarabi kwa mali ...."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa...Huyu mzee na maza ni pipa na mfuniko, itakuwa maza anamuiga huyo mzee🤣
Hapo waislam wamekujaje, mbona unauonyesha uwezo wako Mdogo wa kujadili kilichopo?Na haiwezekani waislam wawe wazinzi Sana kuliko makafir.Mi nimekaa na waislam sana. Na pamoja na kuwa na wake wanne ni wazinzi wazur sana. Hizo ndoa hazijawaondolea tabia zao
alikuwa sahihi kabisaMaslahi ya mada,
1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu.
2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama kuna familia za baba na mama mmoja watoto wanatofautiana na kugombana kabisa wazazi wanapofariki si jambo la ajabu kwa watoto wa familia za mitala.
Kwahiyo shida si migogoro bali chanzo chake, wahusika na namna ya kuitatua kupitia sheria ama watu wanaoaminika na kuheshimika.
Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili na watoto kwa kila mke. Kusema hakuna migororo ni kujidanganya kulikopitiliza. Inahitaji akili kubwa ufahamu wa kutosha na hekima kubwa sana mke mkubwa kuwapenda na kuwasaidia watoto wa mke mdogo na hapa hawezi kulaumiwa hata kidogo.
Migogoro mara nyingi huanzia kwenye vipaumbele kwa watoto na mgawanyo wa mali na majukumu ndani ya familia.
Migororo hii huwa ya wazi ama ya kimyakimya ndani ya familia kulingana na weledi, utashi na nafasi ya wazazi kwenye Jamii. Kuna watu kwa kujua ama kutojua huwa wa kwanza kuchochea migogoro hiyo.Wakidhani wanarekebisha kumbe ndio kwanza wanachochea moto.
Rais ni binadamu kama wengine si mkamilifu kama mimi na wewe lakini kuna vitu anapaswa kuwa navyo kuwazidi wengine wengi ili aweze kuimudu vema nafasi aliyonayo kijamii. Kwenye msiba wa Mzee Mwinyi kwenye hotuba yake rais kachochora kidogo na kuzua mijadala isiyokuwa na lazima.
Rais katuambia kwamba kwenye familia ya Mzee Mwinyi kuna migogoro na hataki kuisikia ikichachamaa huku akimtaka Hussein Mwinyi rais wa Zanzibar na mtoto mkubwa wa Mzee Mwinyi kwa mke mkubwa alisimamie hilo
Nje ya urais wa Hussein ni mtoto wa marehemu Mzee Mwinyi mwenye ndugu wa kuzaliwa na ndugu kwa mama mdogo.
Je, kwa nafasi yake ya pili ataweza kulimudu hilo? Je, Rais alipaswa kuliongelea hilo mbele ya kadamnasi?
Sio waislam tu fuatilia hata watu waliooa wake wengi wasio na Dini utakuta ndio wanaoongoza kwa uzinz. Ni kama vile ukifuatilia mtu aliyeoa mwanamke mrembo sana utagundua ni mzinz maana kama macho yake yaliweza kuuona huo urembo basi yanauwezo ya kuona urembo zaid.Hapo waislam wamekujaje, mbona unauonyesha uwezo wako Mdogo wa kujadili kilichopo?Na haiwezekani waislam wawe wazinzi Sana kuliko makafir.
uache uzushi wa Paulo
Rubbish!
Sasa hayo unayoongea yanahusiana vp na mada iliyopo mezani?Sio waislam tu fuatilia hata watu waliooa wake wengi wasio na Dini utakuta ndio wanaoongoza kwa uzinz. Ni kama vile ukifuatilia mtu aliyeoa mwanamke mrembo sana utagundua ni mzinz maana kama macho yake yaliweza kuuona huo urembo basi yanauwezo ya kuona urembo zaid.
Kuoa wake wengi hakupunguz uzinz wewe umesahau ulichoandika. Unataka na Mimi nikuite mjingaSasa hayo unayoongea yanahusiana vp na mada iliyopo mezani?
wakati mwingine jaribu kuficha upumbavu wako au Kama mada ipo juu ya upeo wako jitahidi upite mbali.
kumbe najadiliana na mwendawazimuKuoa wake wengi hakupunguz uzinz wewe umesahau ulichoandika. Unataka na Mimi nikuite mjinga
Kario bangi. Jina linatusaidia kukufahamkumbe najadiliana na mwendawazimu
wacha nikuignore
Ulitakaje?Maslahi ya mada,
1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu.
2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama kuna familia za baba na mama mmoja watoto wanatofautiana na kugombana kabisa wazazi wanapofariki si jambo la ajabu kwa watoto wa familia za mitala.
Kwahiyo shida si migogoro bali chanzo chake, wahusika na namna ya kuitatua kupitia sheria ama watu wanaoaminika na kuheshimika.
Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili na watoto kwa kila mke. Kusema hakuna migororo ni kujidanganya kulikopitiliza. Inahitaji akili kubwa ufahamu wa kutosha na hekima kubwa sana mke mkubwa kuwapenda na kuwasaidia watoto wa mke mdogo na hapa hawezi kulaumiwa hata kidogo.
Migogoro mara nyingi huanzia kwenye vipaumbele kwa watoto na mgawanyo wa mali na majukumu ndani ya familia.
Migororo hii huwa ya wazi ama ya kimyakimya ndani ya familia kulingana na weledi, utashi na nafasi ya wazazi kwenye Jamii. Kuna watu kwa kujua ama kutojua huwa wa kwanza kuchochea migogoro hiyo.Wakidhani wanarekebisha kumbe ndio kwanza wanachochea moto.
Rais ni binadamu kama wengine si mkamilifu kama mimi na wewe lakini kuna vitu anapaswa kuwa navyo kuwazidi wengine wengi ili aweze kuimudu vema nafasi aliyonayo kijamii. Kwenye msiba wa Mzee Mwinyi kwenye hotuba yake rais kachochora kidogo na kuzua mijadala isiyokuwa na lazima.
Rais katuambia kwamba kwenye familia ya Mzee Mwinyi kuna migogoro na hataki kuisikia ikichachamaa huku akimtaka Hussein Mwinyi rais wa Zanzibar na mtoto mkubwa wa Mzee Mwinyi kwa mke mkubwa alisimamie hilo
Nje ya urais wa Hussein ni mtoto wa marehemu Mzee Mwinyi mwenye ndugu wa kuzaliwa na ndugu kwa mama mdogo.
Je, kwa nafasi yake ya pili ataweza kulimudu hilo? Je, Rais alipaswa kuliongelea hilo mbele ya kadamnasi?
Ahahahaha sidhani kama Mzee Said angeenda msibani, hata hizi Investments zinazofanya Zenji Hussein angezifanyia figisu..Kuna kipindi ilisemekana kadhulumiwa
Mmm Magufuli kwenye Msiba wa Komba?Marais wa nchi hii kuropoka ndio kazi yao hasa kwenye misiba ya watu mfano kwenye msiba wa komba ifahamike komba alikuwa na wake 4 alikuwa kazaa nao lakini watoto walio kuwa wana julikana kifamilia ni watoto wa wake 2 tu Magufuli alipo simama kutoa nasaha akasema hivi watu wengi wanafahamu kuwa komba kazaa wanawake 2 tu jambo ambalo sio kweli akasema mimi nivyo fahamu kazaa na wanawake wengine 2 hivyo kuna watoto wasio fahamika kifamilia bahati nzuli wale wanawake walikuwepo
Pale na watoto wao ikawa sababu ya kutambulika naisi watakuwa walimwambia Magufuli kusema maneno hayo hata mama shishi si ajabu upende wa mke mdogo umemwambia asema hivyo
Wanahudumiwa wote kisheriaKwanza kabla sijachangia chochote ningependa kujua kama wajane wa raisi stahiki zao zikoje kutoka serikalini? Tumezoea mjane mmoja je hawa wawili stahiki zao zikoje? Nusu kwa nusu au mke wa pili serikali haimtambui kwenye stahiki zake?