uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Haha yani muda mzuka ndo unapanda alafu mziki ndo unazimwa.inakeraIlikuwa inakera balaa mkuu, ilishawahi kunitokea hiyo
Yaani umepata mtoto wa kubambia halafu Dj anaanza miyeyusho...aiseehHaha yani muda mzuka ndo unapanda alafu mziki ndo unazimwa.inakera
Haha unakuta una winda muda wote.sasa unapata ndo hivyo muda hautoshiTeh, sasa ulikua wapi mpaka kumpata mwisho mwisho hivyo
Kka Leo husomekiYaani umepata mtoto wa kubambia halafu Dj anaanza miyeyusho...aiseeh
Leo nasomeka mtaa wa PM tu kule WTsp sisomeki Dada yanguKka Leo husomeki