Ataonekana anavigutuVifunge plasta
Kuna kitu tunaita psychosocial stages of human development hasa oral stage ambayo inaonekana uliipita bila kuitendea haki pindi ukiwa mtoto, na hii sasa imekuja kukusababishia uwe katika *fixed* state ya hiyo hatua.KULA KUCHA. Tangu nimezaliwa na kukua nakula kucha zaidi ya miaka 30+ hii tabia inanitesa maana sijawahi kuwa huru na vidole vyangu. Kucha zangu muda wote ni mbaya na nang’ata mpaka vinapaki vialama vya kucha na sio kucha.
Mpaka sasa sina elimu yoyote juu ya tabia hii, naomba kujua chanzo chake ni nini na kwanini kuacha haiwezekani?
Nimekuwa teja kama mla unga au mpiga punyeto. Msaada tafadhari.