Je inachukua Muda gani kuiacha tabia uliyoizoea?

eSIM

Senior Member
Joined
Sep 27, 2018
Posts
167
Reaction score
135
KULA KUCHA. Tangu nimezaliwa na kukua nakula kucha zaidi ya miaka 30+ hii tabia inanitesa maana sijawahi kuwa huru na vidole vyangu. Kucha zangu muda wote ni mbaya na nang’ata mpaka vinapaki vialama vya kucha na sio kucha.

Mpaka sasa sina elimu yoyote juu ya tabia hii, naomba kujua chanzo chake ni nini na kwanini kuacha haiwezekani?

Nimekuwa teja kama mla unga au mpiga punyeto. Msaada tafadhari.
 
Kuna kitu tunaita psychosocial stages of human development hasa oral stage ambayo inaonekana uliipita bila kuitendea haki pindi ukiwa mtoto, na hii sasa imekuja kukusababishia uwe katika *fixed* state ya hiyo hatua.
Unaweza kutumia hata pilipili ili kuepuka kula kucha maana kwamba uwe unapaka vidole vyako ili uweze kupunguza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom