Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Wakuu nahitaji ushauri.
Ni muda mrefu nina ndoto ya kufungua biashara ya vifaa vya simu.
Ila changamoto nakosa mtaji na sijajua kiasi gani kinaweza kufaa kuanzisha hii biashara. So wajuzi wa mambo naomba mnipe ABC kuhusu mtaji unaofaa na maeneo yanayofaa zaidi kwa biashara hii.
Nataka kuuza kwa rejareja
Napatikana Mwanza wilaya ya Ilemela.