Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Rejareja mkuuKwa jumla ama rejareja?
Laki 7 Mkuu kama unayo zaidi ni njema pia,nyingine unaweza ongezea kulingana na mahitaji na maoni ya Wateja wakoOK. JR una maanisha laki 7 au million 7?
Pisi moja moja?Anzia angalau na TSH 700,000 Mkuu hii iwe ya mzigo tu,utakuwa ume gusa kila mahali,
Covers -Sumsung,Techno,Infinix
Protector
Chargers aina zote na Brand zake
USB Cables
EARPHONES & Headphones
OTGs
HDMI Cables
Battery za Viswaswadu
Memory Card
Flash
Asante
Naomba uniambie juu ya haya,yaani nipe bei za chimbo maana nataka kulinganisha jamboAnzia angalau na TSH 700,000 Mkuu hii iwe ya mzigo tu,utakuwa ume gusa kila mahali,
Covers -Sumsung,Techno,Infinix
Protector
Chargers aina zote na Brand zake
USB Cables
EARPHONES & Headphones
OTGs
HDMI Cables
Battery za Viswaswadu
Memory Card
Flash
Asante
nazan ni 7000 mpaka 7500 bei ya jumlaNaomba uniambie juu ya haya,yaani nipe bei za chimbo maana nataka kulinganisha jambo
Oraimo type c charger
Oraimo smart charger
Thanks🙏nazan ni 7000 mpaka 7500 bei ya jumla
Kama ni bidhaa za Oraimo pambana ukutane nao wenyewe,Kariakoo pale wengi ni DistributorsThanks🙏
Hiv kwa huyu wa kkoo ambaye yeye hafat mzigo china wala haagizi
Yeye anapata kwa sh ngapi hizo charger kutoka kwa mtu anayempatia mzigo
Wenyewe si ndio hao niliwapigia simu kupitia webyao official na wakanipa bei ambazo kama nitauza kwa bei ya kkoo napata faida ya 300 kwa kila pisi sasa nikaona kama ni faida ndogo sana,maana nilitegemea mayb kwa kila pc nitapata 1500-3000Kama ni bidhaa za Oraimo pambana ukutane nao wenyewe,Kariakoo pale wengi ni Distributors
Plan yako ni kuwa una uza jumla au Reja reja?Wenyewe si ndio hao niliwapigia simu kupitia webyao official na wakanipa bei ambazo kama nitauza kwa bei ya kkoo napata faida ya 300 kwa kila pisi sasa nikaona kama ni faida ndogo sana,maana nilitegemea mayb kwa kila pc nitapata 1500-3000
Au ni mimi ndio mgen sana kwenye hii game?
Biashara ina mambo mengi sana mkuu ,wengine hiyo hiyo wanachukua na utawaona TAO wana Push Range Autobiography na Kujenga Ghorofa Mbweni JKT.Wenyewe si ndio hao niliwapigia simu kupitia webyao official na wakanipa bei ambazo kama nitauza kwa bei ya kkoo napata faida ya 300 kwa kila pisi sasa nikaona kama ni faida ndogo sana,maana nilitegemea mayb kwa kila pc nitapata 1500-3000
Au ni mimi ndio mgen sana kwenye hii game?
JumlaPlan yako ni kuwa una uza jumla au Reja reja?
Kama ni jumla usi tegemee faida kubwa kwenye bidhaa,Jumla
Thanks,nimekuelewa bossKama ni jumla usi tegemee faida kubwa kwenye bidhaa,
kinacho angaliwa ni mzunguko wa mzigo,
kuna vifaa vya simu vingine faida yake ni TSH 100,
So ukiweka bei kubwa tegemea kukimbiwa na wateja,
KKOO ni sehemu ambayo taarifa ya bei za bidhaa zina sambaa kwa uharaka sana,so upinzani ni mkali sana