Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Wakimfuata basi ajue watakuja na mkeka wa faini.Wewe fungua office tu kama kuna vibali vinahitajika wanaohusika watakufata kukupa mwongozo
Hata sumbuliwa na board ya ujenzi au wizara ya ujenzi?Kwanza inabidi Urasimishe UJUZI kisha Ndio Utafute vibali vingine Rasmi vya Biashara.Ila KAMA ni Ofisi ya Biashara basi lazima Uwe na Vibali kadhaa.Ila kama ni side hustle unaweza anzisha Ofisi ambayo inafanya shughuli nyingine then Unaiweka hii side hustle yako hapo kama SIDE hustle
Hizo wanajua Architects wakuje kutoa mwongozo huku
Kumsumbua lazima wamsumbue kuanzia AQRB,CRB ERB n.k.Hata sumbuliwa na board ya ujenzi au wizara ya ujenzi?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app