NdioHabari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara zinasemaje kwenye ishu kama hiyo.
Hiyo ya kumpotosha mtu inaepukika, kwa sababu lengo sio kubadilisha product ..ni vifungashio tu ndo unabadilishaSidhani kama kuna mtu atakuwa anadhani sukari yako ni wewe Mafichoni Cuisine ndio umeitengeneza..., anyway kwenye maelezo pamoja na mengine unaweza kusema repackaged by.......; Ingawa haya mambo sio black or white unaweza kufanya kitu na matokeo yake ikategemea na utakavyoshitakiwa..., mfano usiposema repackaged by na ukajifanya ni yako mtumiaji anaweza kusema umemu mislead
Kuna cha kujifunza kwenye hii video:Habari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara zinasemaje kwenye ishu kama hiyo.
Nadhani ni sahihi kusema kwamba Haki za mtu kwa product yake zinaisha pale akishaziuzaKuna cha kujifunza kwenye hii video:
View attachment 3125683
Ndio maana kuna kitu kinaitwa proper labelling..., kibongo bongo wala sio issue sababu hata mtu akikuanzishia kesi hauna pesa za kumlipa unless wewe ni Mo au Azam..., Ukisema manufactured by Angels in Heaven hata mimi mtumiaji naweza nikakushitaki kwamba una mislead..., ila ukisema repackaged by wewe mwenyewe, hio mbona inajieleza...Hiyo ya kumpotosha mtu inaepukika, kwa sababu lengo sio kubadilisha product ..ni vifungashio tu ndo unabadilisha
Ukaona kama inakataa hviKuna siku niliwah kuwaza hii kitu
Insight nzuri, nasubiri mtu agusie intellectual property rightsNdio maana kuna kitu kinaitwa proper labelling..., kibongo bongo wala sio issue sababu hata mtu akikuanzishia kesi hauna pesa za kumlipa unless wewe ni Mo au Azam..., Ukisema manufactured by Angels in Heaven hata mimi mtumiaji naweza nikakushitaki kwamba una mislead..., ila ukisema repackaged by wewe mwenyewe, hio mbona inajieleza...
Mfano sasa hivi watu walikuwa forced kwenye bidhaa kama sigara waandike kabisa kwamba Cigaratte Smoking is Dangerous for your Healthy wakati zamani walikuwa wanaweza hata kusema inakuongezea libido...
In short kibongo bongo anything goes hata ukivunja sheria unless you are very big no one bothers
Tena achana na legality ya property rights kwenye chakula kuna mambo ya food healthy and safety wewe leo ukianza kuchukua Coca Cola au mikate ya Mr Bread na kuigawa katika slices mbili mbili na kuuza anaweza akaja Bwana Afya akakuuliza kama sehemu yako inakidhi vigezo vya food processing...Insight nzuri, nasubiri mtu agusie intellectual property rights
nIlihis tu litakuwa kosa ila sijathibitishaUkaona kama inakataa hvi
Naomba kujua intellectual property rights inaishia wapi, je nikishauziwa bidhaa ninaweza kuitumia nipedavyo? Ikiwemo kuifunga kwenye vipakti vidogo zaidi na kuziuza upya kwa wateja wengineMkuu yazingatie sana haya usije ukaruhusu watu wakakuingiza cha kike.
1. Intellectual property rights
2. Trademark law.
Hivyo vitu viwili ndivyo vitakupa maamuzi ya hiyo bidhaa husika ama huduma yako. Sana sana Fanya tafiti kwenye TRADEMARK LAW. Kama bidhaa inalindwa na hiyo sheria usifanye hilo kosa bila ruhusa ya wahusika wanaweza kukushtaki.
Kwa Tanzania kampuni nyingi ni kama hazijali hivi ila angalia na kampuni husika ambayo ndiyo brand mama ya hiyo bidhaa, ukijiridhisha Fanya ila kama ukiona ina mkanganyiko kaa nayo mbali.
Mtu ambaye anaweza kufanya rebranding muda wowote ni mmiliki halali wa hiyo bidhaa husika na lengo mara nyingi huwa ni kuwaoutshine competitors.
In local ways sio shida unaweza Fanya ila kama una plan za kwenda nayo mbali ni vyema ujipe uhakika ili kujua calculated risky.
Wewe kwa urahisi achana na technicality za sheria mtu mwenye pesa na kama wewe una pesa pia anaweza akakushitaki kwa vitu vya ajabu ajabu akakupotezea muda..., kama muuzaji unamjua wasiliana naye na mueleweshe kwamba kwa soko lako inahitaji kupackage upya kwa pcs ndogo ndogo..., pia na yeye kama ni processor / package bidhaa kwanini usinunue kule anaponunua yeye ?Naomba kujua intellectual property rights inaishia wapi, je nikishauziwa bidhaa ninaweza kuitumia nipedavyo? Ikiwemo kuifunga kwenye vipakti vidogo zaidi na kuziuza upya kwa wateja wengine
HAKI MILIKI kwa kiswahili, hii ndiyo inampa uhalali wa umiliki mmiliki wa bidhaa husika ama huduma husika.Naomba kujua intellectual property rights inaishia wapi, je nikishauziwa bidhaa ninaweza kuitumia nipedavyo? Ikiwemo kuifunga kwenye vipakti vidogo zaidi na kuziuza upya kwa wateja wengine
Ushauri mzuri ✅Wewe kwa urahisi achana na technicality za sheria mtu mwenye pesa na kama wewe una pesa pia anaweza akakushitaki kwa vitu vya ajabu ajabu akakupotezea muda..., kama muuzaji unamjua wasiliana naye na mueleweshe kwamba kwa soko lako inahitaji kupackage upya kwa pcs ndogo ndogo..., pia na yeye kama ni processor / package bidhaa kwanini usinunue kule anaponunua yeye ?
Na hilo soko lako ni wapi kama ni Bongo kitaa unaweza kuingia gharama kubwa kumbe mteja wako anajali price na sio complications zinazoweza kuongeza bei... Vilevile ni bora ku package na kuita mzigo mafichoni brand kuliko kupackage na kuita mzigo kitu ambacho sicho....; Sababu hapo unakuwa haujadanganya
Beware: Police seize bags of uncustomed sugar being repackaged in Kisii
Police and DCI detective in Kisii County seized 14 bags of sugar, each weighing 50kg that was being repackaged following suspected spread of contaminated sugarwww.tuko.co.ke