Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wakuu...
Nina swali dogo tu nataka kujua hivi kweli ni sahihi na inaruhusiwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuingia kwenye mitihani yao ya UE bila kujua course works zao? Inaruhusiwa kutokana na sheria za chuo ama?
Kabla ya kuingia kwenye UE lazima usign course work yako coz below 16 ni technical supp
Kabla ya kuingia kwenye UE lazima usign course work yako coz below 16 ni technical supp
Hapa wdmi"chuo cha maji ni below 20,haupig
Ofcoz inategemea na chuo though lengo hapa nikumwambia huyo mleta mada kuwa kujua course work yko kabla hujaingia kwenye UE ni lazima.
Hapa wdmi"chuo cha maji ni below 20,haupig
Jibu la swali lako liko kwenye by-laws za chuo husika au prospectus au module handbook. Ushauri wangu ni kwamba tuwe tunasoma relevant sources kwa majibu sahihi.
GEUr answer here wasnt helping atall swala la mm kujua kingereza halihusiani kabsa mkuu na nilichokiuliza, hapa pia kuna regulations as well kama hukuwa na nia ya kujibu cyoni kama nisahihi ulivyojibu cz hujanisaidia chochote zaidi ya kutaka kuniprovoke mzazi kapongoliso
Hiyo sheria ipo lakini sometime haifuatwi.
Mfano IFM kama mtu alikosa test kwa sababu inayokubalika anatakiwa afanye special test ambayo inafanyika wiki moja baada ya UE.
Below 20 kwa level gani ya elimu?,as far as i know hiyo ni kwa diploma ambao ufaulu wao ni 50%,so katika 40 ya course work 50% ni 20,bachelor ufaulu ni 40%,so 40% ya 40 ndio hiyo 16 anayoizungumzia missstrong