Je! inaruhusiwa kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuingia kwenye 'UE' bila kujua course-works zao?

Je! inaruhusiwa kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuingia kwenye 'UE' bila kujua course-works zao?

rufferoo1

Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Habari zenu wakuu!

Nina swali dogo tu nataka kujua. Hivi kweli ni sahihi na inaruhusiwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuingia kwenye mitihani yao ya UE bila kujua course works zao?

Inaruhusiwa kutokana na sheria za chuo ama?
 
Habari zenu wakuu...

Nina swali dogo tu nataka kujua hivi kweli ni sahihi na inaruhusiwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuingia kwenye mitihani yao ya UE bila kujua course works zao? Inaruhusiwa kutokana na sheria za chuo ama?

Mkuu kwanza utanyaje UE bila kujua kama uko kwenye average GPA inayotakiwa na chuo?

Kwa kawaida hii kitu haiwezekani kabisa!
 
Nashkuru mkuu lkn nimeuliza hvyo kwasababu kwa chuo chetu hiki ndicho kilichotokea na mpaka sasa tukiwa tunafanya UE ya masomo yote saba ni masomo mawili tu ambayo course works zake zimetoka na wanafunzi tumesign lkn matano mengine mpaka leo hakuna tuliyoona wala kusign.
 
Hivi mkuu na wee uko chuo kweli? HEBU REKEBISHA HEADING YA THREAD YAKO KWANZA. Afu Una bahat sana Leo, nmeamka vizuri!
 
Kabla ya kuingia kwenye UE lazima usign course work yako coz below 16 ni technical supp
 
Ofcoz inategemea na chuo though lengo hapa nikumwambia huyo mleta mada kuwa kujua course work yko kabla hujaingia kwenye UE ni lazima.

Hiyo sheria ipo lakini sometime haifuatwi.
Mfano IFM kama mtu alikosa test kwa sababu inayokubalika anatakiwa afanye special test ambayo inafanyika wiki moja baada ya UE.
 
Hapa wdmi"chuo cha maji ni below 20,haupig

Below 20 kwa level gani ya elimu?,as far as i know hiyo ni kwa diploma ambao ufaulu wao ni 50%,so katika 40 ya course work 50% ni 20,bachelor ufaulu ni 40%,so 40% ya 40 ndio hiyo 16 anayoizungumzia missstrong
 
Last edited by a moderator:
Kujua course work ni lazima,hii inapunguza possibility ya mwanafunzi mwenye technical supp kutoingia kwenye mtihani husika
 
rufferoo1

Jibu la swali lako liko kwenye by-laws za chuo husika au prospectus au module handbook. Ushauri wangu ni kwamba tuwe tunasoma relevant sources kwa majibu sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Jibu la swali lako liko kwenye by-laws za chuo husika au prospectus au module handbook. Ushauri wangu ni kwamba tuwe tunasoma relevant sources kwa majibu sahihi.

Ndo tatizo atusomi mihitasari tunayo pewa tu mara, unapoanza first year!

na hi utofautiana chuo na chuo..

nafkir angesoma asingeweza kuuliza ilo swali, ni vzur akasome majibu sahih atayapata uko.
 
Ur answer here wasnt helping atall swala la mm kujua kingereza halihusiani kabsa mkuu na nilichokiuliza, hapa pia kuna regulations as well kama hukuwa na nia ya kujibu cyoni kama nisahihi ulivyojibu cz hujanisaidia chochote zaidi ya kutaka kuniprovoke mzazi kapongoliso
 
GE
Massage sent and definitely delivered. More questions?
 
Hiyo sheria ipo lakini sometime haifuatwi.
Mfano IFM kama mtu alikosa test kwa sababu inayokubalika anatakiwa afanye special test ambayo inafanyika wiki moja baada ya UE.

Hao waliokuwa na sababu nisingependa kuwaongelea coz sijui utaratibu wao but kwa wasiokuwa na sababu nilazima week moja ujue course work yko na tena uisaini kabla haijawa submitted kwa wakuu wa idara.
Kwa level ya bachelor kuna kitu kinaitwa competence base ambayo under 16 course work ni technical supp ingawa sheria inaruhusu mwanafunz apewe mark up ili iweze kumboost.Either ni test o assignment
 
Below 20 kwa level gani ya elimu?,as far as i know hiyo ni kwa diploma ambao ufaulu wao ni 50%,so katika 40 ya course work 50% ni 20,bachelor ufaulu ni 40%,so 40% ya 40 ndio hiyo 16 anayoizungumzia missstrong

Ofcoz nachojua kwa level ya bachelor ni 16
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom