Je, inaweza kutokea uteuzi wa wagombea ukafanyika nje ya waliochukua fomu?

Je, inaweza kutokea uteuzi wa wagombea ukafanyika nje ya waliochukua fomu?

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Habari za muda huu,

Swali langu ni mahususi kwa nafasi ya uspika lakini pia linaweza kujibiwa kwa nafasi nyingine ambazo mchakato wake wa uteuzi wa wagombea unaanza kwa kuchukua fomu kwa vyama husika. Swali ni:

Je, ikitokea wote waliochukua fomu ya kuwania nafasi fulani hawana sifa kamili zinazotakiwa kwa mustakabli wa nchi yetu na wenye sifa hawakuchukua, je katika hali hiyo mchakato ukoje?

Je, hakuna utaratibu mwingine wa system kuchuja wenye sifa hata hawajachukua fomu?
 
Kwa Tanzania sifa kuu ya kugombea nafasi ya uongozi ni kujua kußoma na kuandika.mengine ni mbwembwe tu,
 
Back
Top Bottom