Je inawezakuwa Jubilee waliitumia CCM kuiangamiza NASA?



Tungekuwa tunaitumia hiyo tabia kuffanya ubunifu tungekuwa mbali sana.
Tatizo wa TZ tunajua u great thinker ni siasa peke yake.
 
Tapika yote ila mmenyooshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh.Pole. Chuki yako imefumba sana akili yako,otherwise ulikuwa smart sana ktk trick za kitoto. Sasa umeishia kuwa trick boy km mugabe. unaishi kwa tricks km Monkey ukiamini utakufa ukiwa umejishika juu ya mti.

Pole sana, sasa hivi unajiona mtu zaidi?Kwa taarifa yako, kuwa na tricks hakukufanyi kuwa smart, trick zinafaa ktk show ili kufurahisha wenye akili za muda mrefu.You have to keep up with tricks prolong your survival before all trees become too slippery for your very rough skin. Kaskazini unayoichukia ina watu kwa kila kitu wanafanana na wakenya.Kaskazini wanapiga hela kenya kuliko unavyoweza ota.Soma historia vyema ujiulize kwanini miji yenye mafanikio ktk miaka ya utumwa, na ukoloni leo hii ni km mashimo?Kwanini sababu discipline ,cultural arrangement, hard working,be true to yourself, patient pays more. Hizo haziwezi porwa na CCM au vibaraka wake. Nenda Israel leo chukua kila kitu wape wapalestina, wape 15yrs, wapalestina watarudi kuomba chakula na tiba. Namini hata wewe pamoja na ukangaroo wako bado unayo kumbukumbu utaifishaji tulioufanya tuliishia wapi?

Huwa napenda jinsi unlivyo na uwezo wa kumeza misamiati na kuitapika kwa mbwembwe ila napata huruma sana jisni upepeo unavyobadilika haraka kuliko uwezo wako wa ku ji adjust. Bahati ni kwamba watanzania wanakupa sana favour. pengine wanakulea ili ufikie deadend road vibaya.
 
Kama kuna ukweli kwa mbaaaaliiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna ukweli kwa mbaaaaliiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa biased unaweza on km kuna ukweli, ila hata ukirudia mara mia utaona pattern tofauti sana. Hembu muulize huyo jamaa tangu aanze jiona mtu km anavyosema alikuwa akitembelea wapi sana kipindi hayupo ktk kazi za kisiasa nje ya dar?

Shule nyingi zilikuwa za wakoloni serikali ikaridhi, zilizoongezeka zilijengwa na wananchi wa maeneo husika. Hospital nazo zilijengwa na wamissionary na nyingine michango ya wananchi.Wakati huo wazee wa viongozi wanaojidai kuubebea mkoa walikuwa wakijisifu kwa matunguli kuwa yanafanya kazi kuliko dawa za hospital, kitu ambacgo hadi leo hawa jamaaa wanajisifu nacho ktk siasa. Miundo mbinu inayosemwa mingi ktk mkoa wa kilimanjaro ilikuwa ikifuata uwekezaji fulani.Kuna bara bara zilikuwa zinafuata hospitali kubwa km KCMC, nyingine ni route za mlimani, nyingine ni ufadhili wa nje kwa vile kuliko na mradi wa nje.Vyote hivyo ni kinyume na sera ya ccm. Pia nidhamu ya watu wa kilimanjaro km ilivyo kwa makabila fulani km wakurya, waha etc ni kupambana,utawakuta wamefanikiwa mahali panapoweza itwa ugenini.Ingawa nao walisindwa kuendeleza kwao kwa vile walikuwa issue nyingine km kulogana,kutopenda vijiji vyao.Wengi wa hawa wabaguzi ukiwauliza kabla ya kufika dara waliwaona wapi kwa mara ya kwanza watu w akilimanjaro.Watakuambia kijijni kwao.Ukiwauliza waliwajua km nani watakuwambia kuwa walikuwa wabahili ila ndio walioto ahuduma muhimu ambazo sio serikali wala wabunge wao waliweza zifikisha.Ubahili ni tafsiri ya hawa wenye chuki kwenye nidhamu ya hela.Wao kwa akili zao hata waliosoma wanaamini duka likijaa hela zote ni za matumizi,njaa ikiuma.Hao ndio huwa wanaamini serikali haifilisiki hata ukipiga hela .Watu wa kilimanjaro wengi tuu walifanikiwa kuliko maboss wao ingawa hawakuwa na kazi kubwa kwa vile hata elimu ilibanwa hata km walijenga shule binafsi ila ktk kila stage kulikuwa na michujo ya kikanda.

Ukweli haupo wazi sana, na hiyo ndio makosa makubwa ya watu wanaoneza proaganda mbaya, kwa vile wanawawekea mipaka vijana wao ,na kuwaaminisha kuwa njia walizopitia wazazi wao na bado hawakuafanay kitu ndio sahihi.Kachukua hela za umma au kuwanyima wengine nafsi hakukufanyi tajiri.Utajiri upo ktk akili na juhudi za mtu.Duabi kujenga majengo ya kutisha hakuwafanyi kuwa tajiri kuliko swiss au sweden au kuwafanya waishi maisha mazuri. Sana sana kunawafanya wa Swede wapate miradi kwa kwenda kuzichukua hizo hela ktk mizadi isiyo na maana.
 
Hayo ndiyo matusi yenyewe.... Nyie mlijenga kwa pesa zenu za mfukoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahi sana mkizaliwa wengi wenye akili km hizi.Kwa vile mtasoma kitabu kimoja na wenzenu ila hamtoelewa kwanini wenzenu wanafanya vitu kuliko nyie. Hata ukipewa uwaziri leo unaweza usiwe na sababu ya kujenga bara bara iende machame kwa Mbowe usiyempenda, ila ukawa na sababua ya kujenga barabara itakayopanda hadi gate la kilimanjaro ktk machame route. Mbaya zaidi anayekuambia ijengwe ni bank ya dunia kwa vile wao ndio watakupa mkopo, na watakupa kwa vile wanaamini kuwa ndio barabara muhimu. Sasa hapo serikali yako ihahusika nini? Kabla ya akina Aghakhan sidhani km wachache wenu walipona vibarua vya mashamba ya mawese km sio treni ya zenj kuchuma karafuu. Ungekuwa na sababua ya kukataa KCMC isipate lami, tena lami iliyofadhiliwa na wafadhili wa hiyo hospital.

Akili yako haina tofauti sana na jamaa wa dubai, wamejengewa hadi 7 stars hotel kwa gharama kubwa sana ambayo imerudisha hela za wazungu walizonunulia mafuta kwa mlango wa nyuma.Ila kila holiday wafalme wao wanajazana ktk vibanda vya mbao ktk milima ya swiss eti wakila bat ana kuonyesha hela zao. km unavyosema kwamba sasa ndio unajiona mtu. Ni wazi hadi ufe, kila kitu cha kilimanjaro kitabaki kuwa km dream of your life. Christmas na Mwaka mpya ujao, anzia Dar, nenda mwanza, Arusha, Moshi angalia hoteli zote jinsi zimejaa na waliojaa ni nani halafu jiulize km serikali yako imemkomesha mtu. Sanasana mtu km wewe ukiingia hata ukjitutumua sana,utapewa heshima tuu ila utakuwa umejipendekeza na sio potential customer kihivyo.
 
Unapotafuta ukweli haikwepeki kutumia theory za kila aina.
 
Sawa wewe kashfu...kejeli.... tukana vyovyote vile ila ukweli Utabaki ukweli sisi mnaotutukana ndo tumewafundisha ustaarabu wa kuchamba.... kutahiri na hata kuvaa vizuri mjini.....

Ndo maana hata viongozi wa chama walikua too local tukawafunza leo watuona kituko kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upuuzi basi, kashfa zipo wapi?Bado hadi leo una play victim tuu. Mkuu majungu ya kijinga hivi hayauziki sio kenya tuu hata bongo.

Nikusaidie tuu, kesho ukiwa na muda piata uswahili kwenu unapoendaga kuchochea watu ili ukiwa ktk media wakuone super star. Waulize kwanini watu wote ambao huwa mnawaita washamba, haichukui muda kuwapita na kuanza waongoza?Its easy, they are smarter than you,but they are very careful when they deal with your malice ,they listen more than talking and when they talk ,they do it through actions. Unamwita mtu mshamba umemfundisha kuchamba, wakati hata akija kwako hayupo ktk list ya waugua kipindupindu?Unajua kwanini mikono yenu ya kushoto ni haramu sana?Mnashika san mavi, hamna sabuni,wala maji ya kunawa vyema mikono yenu, mnanajisi kila kitu mgusacho kuanzia mlango wa kutokea chooni hadi mkono mnaouita wa kulia .Unasema umewafundisha kuvaa vizuri wakati asilimia 90 yenu mnavaa jezi, mna vyoo vinanuka kuliko bar zao? Mnasema mmewafundisha ustaarabu wakati, miradi yote ya kuchangia ktk jamii wakisimama wao inafanikiwa kuliko nyie. Kutahiri hakukuanzia kwenu wala kwa hao watakatifu wenu, kulianzia kwa Abraham, na hiyo ilitembea ktk tamaduni nyingi,ila baadae haikuwa lazima ila muhimu kutokana na mazingira. Hadi sasa uvaaji mzuri ni wa kimagharibi sasa umagharibi na uswahili wapi na wapi?

Shida yenu, hamjui sana mnachokifanya, ndio maana watu hawana muda wa kupeteza nanyi ktk maneno,wanawaachia assignment kwa vitendo. Vitu ving mnavyojisifu navyo waswahili km kumkaribisha mtu, kumuonyesha mtaa ni redundant. Hivyo vyote internet simu zinafanya sasa nani ashukuru simu aliyonunua kwa hela yake?Nyie kila kitu mlilipwa. Na hizo nyumba zenu mjini kabla ya kuwashinda na kuziuza nani hajui shida zake, ndo za mikeka, vita na wapangaji kuwa kila siku unakula nyama, sijui unakuja na mchumba na sio kuchukua mabint zao, zamu za kjinga kuosha choo, kuchuguliana ndani, kelele za mapaka na chuma ulete. Dunia imeshawaacha sana nyie watu.
 
Haha. Nilitegemea ungesema kwamba NI WAKATI WOTE TUIPIKE KEKI YA TAIFA KUMBE UNAGOMBEA KULA. Mtapewa sana bure, nasi tumejifunza kwa wahindi na waarabu tunawawea sehemu ya kula, ili mrija ukiminywa tuu basi huwa njaa inawauma sana,mnapigwa gap. Kwa taarifa yako tabia zenu zinawacost watu wengi sana, hata tusiotaka kula bure.

Ndio maana siku zote huwa nakuona ni mwanasiasa wa hovyo sana. very cheap, unapeta tricks za uruka ruka katika matawi ya miti.Ndio umesoma uchumi wewe kweli ?Umechukua vyeti ili upate ushahidi wa kujihalalishia kula tuu. We endelea payuka misamiati ili wajinga wakuene unajua ila ndani ya roho yako una kilio ulichokigeuza chuki. Kwa hiyo chuki yako ilipofikia unaumia sana ,unapoona wengine wana SMILE hata km umeshiriki kuwapora kila kitu.Suichojua ni kwamba wengine wameweka maridhiko yao ktk vitu vingine usisvyovijua. You will nver be happy, hata upewe urais, upewe mrembo wa tanzania, hata unaowachukia leo wakifa wote. Kwa ujumla you have sold your soul to the devil.
 
Naona una hasira sana but ukweli Utabaki kuwa ukweli... zama za kusukumia kila mradi uende kwenu zimepita....

Sasa ni kula kwa Jasho hasira za nini? Acha kubweka....

Naona inakuuma sana mimi kusoma mwambie mwenyekiti wako akuoneshe cheti kama anacho.

Too low!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matusi hayajengi ndugu.... sisi unaotuona hatufai ndo tumemwaga damu yetu CHADEMA leo mnakula ruzuku za bure tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe umejibu hoja ipi sasa?
 
Cha nini sasa? Kwani kawa nyie mnaojiona sasa ndio mnajitambua na kujiona watu. Sa sa ulimshambulia akakuacha nini kimeongezeka kwako?utakufa ukitaka jihalalisha mpaka kwa watoto uliowazaa.
 
Matusi hayajengi ndugu.... sisi unaotuona hatufai ndo tumemwaga damu yetu CHADEMA leo mnakula ruzuku za bure tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh, damu ipi ?yako ?msaliti umemwaga?Labda ya wengine waliodhani ni mwenzao kumbe ni uzao wa zizi lignine. Sa sa unawauzia wakenya umbea na theory za underworld? Unatia huruma. Hakuna magazeti y'a kijinga kukubeba na kukupalilia. Utadandia sans hoja ila monkey tricks will never be a set of serious things. Wewe unawafaa ccm, chadema hawataki watu wasioweza fikiri wenyewe. Wewe ni kasuku, more than half thé terminologies unazorudiarudia huzijui. Nitakudaka siku moja ktk big stage utahitaji elezea vyema misamiati unayojificha ndani yake lazima ulie .
 
Hii yote ni hasira! Big stage wapi? Mbona mmeshindwa itumia sasa hyo big stage mmebaki tangatanga kama mahayawani? Shida ni matusi na dharau vimewajaa ila ktk kupanda ngazi hamuwezi wenyewe ila kwa msaada wa mnaowatukana!

Sisi ndo tumewabeba ila Jasho letu leo mnalitemea mate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…