Je inawezakuwa Jubilee waliitumia CCM kuiangamiza NASA?

Nitakusaidiaje sasa km Umeamua kuweka ndoto za mchana kuwa core of your thinking? Unachofanya hakina tofauti na psychopaths mwingine yeyote. Mjinga km wewe hakuna kitu usichoweza kitumia km sababu kwa vile Kujidanganya kumekutawala sana. Nani anatangatanga?Chadema halisi tangu waanze ipenda hadi leo hawajawahi hama chama, chadema halisi tangu waingie ktk chama hawajawahi kuwa na vikao vya siri na ccm, chadema halisi hawajawahi kuhangaika na kusumbuka na upepo wa siasa. In fact unateseka zaidi wewe kuliko hayawani, kila dkk matukio yanageuka na kukuacha ukiwa busy ktk issue za kipuuzi.

teh teh. Dharau?Sidhani km unaweza nishawishi kwa namna yoyote nikuheshimu. Na sio mimi tuu hata watu wengine wenye kuona ndani zaidi ya box. Wewe hata udandie matukio mazuri na kuyateka km kawaida yako i can simply see nini unataka fanya baadae. Upo very limited in thinking, haujai mkononi.

KWA UJUMLA WEWE HUNA TOFAUTI NA WATANGAZAJI WA CLOUDS. Ndani ya clouds wanakuwa very powerful km vile wapo CNN. Nje ya clouds ujanja wao wote unaishia kuwa upepo tuu.Kaza mwanangu na office yako mpya.Imesambaratika km nyumba ya mganga.Mganga ni masikini km shetani siku zote,kila cent anayoipata haina faida kwake na kwa wengine. Kila rasilimali ya mchawi na mganga ni kuharibu alichoumba Mungu. Kaza mwanangu, zikishajaa mimba za kutosha ndio tutakuona unatokaje.
 

We umeongea nini sasa hapa.
 
Huna lolote.... kuanzia wewe hadi yule Makengeza mko too low! Hamna jipya zaidi ya upigaji.... Mungu ameiokoa TZ na wizi na tamaa zenu za kuuwa. Hamna utu hata chambe... nikikumbuka ya Chacha Wangwe ndo nauona unyama uliotamalaki mioyoni mwenu.

Mpo kama dubu mnararua watu bila huruma! Na kamwe msijidanganye mnaweza shika nchi hii mkatugeuza mateka wenu kamwe!!

Endeleeni kufaidika na hizo ruzuku ambazo tulimwaga Jasho kuzipandisha....

Wewe huna jipya kama walivyo viongozi wako.... huna shule wala exposure.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenge kweli kweli wewe.Kengeza alikutoa huko ulipokuwa ungekuwa mpiga ramli tuu muda huu.Kengeza alikuwa anaweza ishi large akiwa nje ya siasa.Wewe mburura siasa ndio chimbo lako nje ya siasa ungekuwa na ponda mnapiga dili kwa kuhadihia watu jinsi gani mfumo kristu unakula nchi. Ulivyo mpuuzi unadhani kuita mtu mpigaji kunamfanya dhaifu?Wewe kimekushinda nini kupiga?Tena ktk utawala unaokupiga vita full scale?Wewe wamekutumia kufanya kazi haramu bado hujaona pa kupiga. Jasho lipi ulimwaga wewe kauzu? Damu ya SOWETO itakuchoma kila mahali.
 
Msumari umekuingia. Kabla yetu kuingia chagadema mlikua na kipi? Sio sisi tulioipaisha kwa hoja na siasa za issues? Sasa hivi mna nini baada ya kukaribisha kinyesi sebuleni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kujitekenya wenyewe alafu mnataka kutuforce tucheke pamojs
 
Msumari umekuingia. Kabla yetu kuingia chagadema mlikua na kipi? Sio sisi tulioipaisha kwa hoja na siasa za issues? Sasa hivi mna nini baada ya kukaribisha kinyesi sebuleni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimekuambia wewe ni lunatic. Sasa si una chama chako?Mbona usikifanye vyema kwa weledi wako. Chadema uliikuta waanzilishi wakiwa wameweka best principles na rules ambazo hata WATU WA HOVYO KM WEWE WAKIINGIA WATAKUWA USEFUL bila uovu wenu kudhuru chama. Wewe si una chako?na ulikitengeneza kwa huo weledi wako, ili kiweze tumia huo uwezo na elimu unayojisfu nayo, from the scratch sasa mbona kimefubaa km viazi vilivyokosa moto jikoni.

Time is not on your side, kila mti unateleza too fast tena fasta kuliko nyani anayekufa.Kwa ujumla mipangilio ya chadema ndio ilikufanya uonekane mtu , hata km ungekuwa robot.Robot haiwezi jisifu kwa kazi iliyokuwa assigned.Kwa namna nyingine , mlinzi anayesign log book hawezi jisifu kuwa bila yeye log book isingekuwepo.
 
Wewe kashfu na kejeli uwezavyo ukweli Utabaki ukweli bila sisi na kina Slaa leo msingekua kitu... mmegeuka watetezi wa mafisadi na kuongea fallacies.

Na uzuri watanzania wamewajua mnapigania kabila lenu na Sio wao... sidhani kwa dharau hizi unazotapika hapa juu ya jamii isiyo yenu utakua na dhamira njema.... mmefulia sasa mnashindwa simamia Miguu yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM itatawala milele. Utake usitake. Chadeko hamna lolote. 2020 mtakuwa kama TLP. CUF na ACT watakuwa na wa bunge wengi kuliko Chadeko. Ofisi zenu za siri zilizoko pale Mbezi Kawe karibu na nyumba ya Dr Mwinyi mipango yenu yote tunaipata. Kwa taarifa yako. Kwenye hilo jengo lenye ghorofa mbili floor ya kwanza ukimaliza ngazi mlango wa pili kushoto ndokuna mwasibu wenu. Hiyo nakuonyesha kuwa hadi pesa yenu naitafuna vizuri hukunikiwauwa Chadeko. Wewe huna unalo lielewa. Chadema kaisha. Kama kuna mwana chadeko wakunibishia hili ajitokezo. Msitake tutoe siri za ndani. Wewe bado dogo sana.
 
Acheni undezi, wewe utakuwa very primitive. Povu linakutoka kuua democrasia ktk nchi yako. Unahema km vile umegundua mbinu ya kuwaibia wamarekani au umefanikiwa kurusha rocket kwenda Mars na kurudi salama. Wewe una zaidi ya kutu kichwani, hujaweza switch kichwani kwani kwako ushindani was ndani ya nchi na ushindani wa taifa letu na wengine. And in fact nyie ndio mkitoka nje ya nchi mahali hakuna ulinzi was cola na vyombo vya habaribvya vilaza mnatia aibu tuu.
 
Acha upuuzi wewe. Unajifanya victim , mara super hero. Una akili ndogo, maadili ya hovyo,na upon desperate use kila kitu. Psychopaths km wewe,huwa hawana sio wazuri wa ku keep references sana. Leo Dr. Umeamua kumuona enemy of your enemy is your friend. Ila unamchukia sana na ulishamtukana sana yeye na make wake. Gear ya hewani ilikuacha uchi Mara ingine tens. Kwa ujumla wewe kanjanja wa mwandiiiiii ni kiroja. Hujui unafight nini. Ndio maana wajanja wanakupa mkia wako uukate. Just because watu hawakuambii ukivyo kituko usijitoe akili na kuingia ktk paranoia ukadhani pengine hawakuoni. Utatembea sana uchi. Na wewe unajifanya una matamko. Ccm watakudanganya sana km lipumba kuwa nanyi ni authoritative figures, kumbe ni viroja in reserve. Unadhani watu walikuwa hawajui lipumba hakuwa na kitu ktk uchumi, walijua kipindi km hii watu watamshuhudia zaidi ktk kazi yake ya tumbo kuliko uchumi wake binafsi na hata wa taifa. Km kituko wewe.
 
Uzuri ujumbe unakuingia sana... wewe tukana upendavyo ila kaa utambue bila hao waswahili unaowatolea matusi kuingia ikulu msahau.....

Kwanza CDM imekua hovyo kuliko CCM kwa mafisadi mliowapokea kwa uroho wenu wa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Act ndio imekuwa vyema? Jitahidi uwahi ccm km mwenzio. Ccm haina budget kulipa madeni, akiondoka huyu patakuwa na changamoto nyingi sana km za wale wanaoachwa ktk viwanja vya mikutano bila usafiri. Sasa hiyo ya ufisadi unayoitumia , km laana ingine ya mabwana zako unadhani in msaada kwenu ? Nani chadema ana tuhuma za mini kaiba ,hela na shilingi ngapi km ccm hadi leo? Kwa vile huna adabu kila Nazi chafuu unachukua. Na wewe utalilia legacy ya mtafutaji hela au mchumi? Umesaliti watu na damu zao zitakulilia forever hats ukisingizia wengine.
 
Ujumbe upi unao wewe scavenger? Umesaliti sana back ni mama boy, kila mtu anabadili via angani na kukuacha ukishangaa. Bahati tuu no lunatic ila maisha yako sio. Ungekuwa na akiki nzima bora ungekunywa sumu tuu ufe pengine ungeweza singizia chadema huku ukiondoa laana ktk siasa za tz. Unayemwita kengeza umeteseka sana kuweka vyeti ili umshinde wapi, umejiuza sana ili use na material things back ukaambulia kujiona mjinga, unamwita kengeza ila hana ukurutu km wewe, kwa ujumla huna satisfactions km same in life. Hats upewe kila kizuri siku zote utabaki jealous km shetani kwa wana wa Mungu wa Abrahamu. Wana wa Mungu wa Abraham wanajenga hawabomoi , wanatibu na kutete uhai aliouumba Mungu wao anakubali kuitwa baba. Hugo mungu wenu no mharibifu na nyie ndio mfano wake bora, wasaliti, wauaji, mmejaa chuki, mmejaa tukose wore, mtabaki na chuki na roho ya kushindwa hats mkimaliza Mali na uhai wa mtu km Mbowe. Mtabaki kuwa loosers tuu.
 
Real

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mali za wizi kama yule wa Arusha aliyeua wengi kwa wizi wa magari?

Hamna jipya wezi wakubwa nyinyi... mda mrefu mmejificha kwenye kuvuli cha hard working kumbe ni wizi na ujambazi...

Halafu ninywe sumu ili iweje? Mlijaribu ua wengine kwa sumu mkashindwa leo nijiue ili niwasingizie? Hamna jipya na ili kuamini hilo subiri 2020!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichojua ni kwamba ya all loosers. Hata wezi wa kwenu ni failures. Km nchi imejaa wasaliti km wewe, wenye chuki na wivu km wewe bado unayemwita mwizi hujapata ushahidi wa kuipa ccm ambayo ipo desperate kupata hata ushahidi wa hisia immalize, hujajitambua tuu kuwa ni loosers au laana imekujaa kiasi cha kukufanya usijitambue hivyo? Utarudiarudia hadi kila raia akushangae.

Nyie ni losers tuu ndio maana hata mkiiba mnabeba hela na viroba, mnaiba hela ktk hesabu ya office sio ktk extra. Mkishikwa mnasema ni kidogo, sijui ni wivu kwa vile wengine hawakupata. Sick minded guys. Mnaita wengine wezi kwa vile hamuoni namna ya kupata hela zaidi ya kuvizia keki ya taifa. Na mkiiba hamuwezi invest. Mmelaaniwa, sasa msubiri watu via zikae sawa, mtajuta. Mtashikia sana watu vitu, mbaki mkisema mmekaribisha watu mjini, hats wazungu mliwakaribisha , mjidai kuwa ndio mliwafundisha kuwatawala.

Sijawahi kukusikia wewe eskariot ukililia kufanya kazi ila unalilia mgao. Billionea s need sick people like you to push forward. They know hats wawape Bela kiasi gani njaa haiishi. Na wana njiani ingine ya kuichukua.

Hivi kweli umeishiwa hadi unaandika upumbavu km huu km export ya Tanzania? Tz tunahitaji Mungu kuipiga km sodoma na gomora ili kuondoa sick people like u. Hatuwezi kuwashawishi kwa logic au hata kwa moral value yoyote kwa vile hanna hizo values. You are terrorists, mna switch tuu side kuwa mnapigania haki, kesho mnasema mna democracy, kesho kutwa mnasema mna master planners etc mradi mbaki ktk destructive ways zenu.
 
Omba kazi ya kupiga ramli inakufaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…