Je, inawezekana Bodi ya Mikopo kuwakata wanufaika kwa kurusha/ skipping baadhi ya miezi?

Je, inawezekana Bodi ya Mikopo kuwakata wanufaika kwa kurusha/ skipping baadhi ya miezi?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kwenu wataalamu, rejea kichwa cha thread hii. Maisha ni magumu Sana, je, loan board wanaweza kukata 15% ya deni kutoka kwa mwajiriwa kwa kurusha baadhi ya miezi? Mfano: 1-3-5-7 au namna nyingine?

Nawasilisha
 
Nipo sua mwaka wa kwanza nmekosa mkopo nataka nirud tu mtaan nkakomae hii nchi inatutesa sn ss walala hoi
Course gan unasoma Mkuu

Mwaka huu wanufaika Ni wachache Sana wameomba watu 80k na watakaopewa Ni 42k so jiandae kisaikolojia Mkuu hila usikate tamaa unaweza kuona hata hapo chuo First year mwaka huu mpo wachache.
 
Back
Top Bottom