Je inawezekana carry over ya mwaka wa kwanza kuisoma mwaka wa tatu?

Je inawezekana carry over ya mwaka wa kwanza kuisoma mwaka wa tatu?

jamboo2

New Member
Joined
Jan 2, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Habari wakuu kama una carry ya mwaka wa kwanza ni lazima uifanye mwaka wa pili au unaweza acha ukafanya mwaka wa tatu.
 
Inawezekana Hila Kila chuo kina taratibu zake atujui mwenzetu ni carry ya chuo gani? Mana Kuna vyuo ukipata carry auvuki mwaka mbaka umalizane na carry Yako kwanza
 
Unarisk kudisco mwaka wa mwisho. Nina mtu kilimkuta hicho akadisco. Alishindwa kuchomoa sup. Bora udisco mapema
 
Back
Top Bottom