J jamboo2 New Member Joined Jan 2, 2024 Posts 2 Reaction score 1 Jan 6, 2024 #1 Habari wakuu kama una carry ya mwaka wa kwanza ni lazima uifanye mwaka wa pili au unaweza acha ukafanya mwaka wa tatu.
Habari wakuu kama una carry ya mwaka wa kwanza ni lazima uifanye mwaka wa pili au unaweza acha ukafanya mwaka wa tatu.
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Jan 6, 2024 #2 Inawezekana Hila Kila chuo kina taratibu zake atujui mwenzetu ni carry ya chuo gani? Mana Kuna vyuo ukipata carry auvuki mwaka mbaka umalizane na carry Yako kwanza
Inawezekana Hila Kila chuo kina taratibu zake atujui mwenzetu ni carry ya chuo gani? Mana Kuna vyuo ukipata carry auvuki mwaka mbaka umalizane na carry Yako kwanza
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 921 Reaction score 2,842 Jan 6, 2024 #3 Unarisk kudisco mwaka wa mwisho. Nina mtu kilimkuta hicho akadisco. Alishindwa kuchomoa sup. Bora udisco mapema
Unarisk kudisco mwaka wa mwisho. Nina mtu kilimkuta hicho akadisco. Alishindwa kuchomoa sup. Bora udisco mapema
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 6, 2024 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...