MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Je, inawezekana chanjo ya Virusi vya Corona kupatikana kwa usawa?
Seth Berkley kutoka Muungano unaotoa Chanjo (kulia, karibu na Bill Gates) akitoa wito wa kupatikana kwa chanjo ya Covid-19 kwa kila mmoja
Lakini tayari kuna wasiwasi kuhusu vile suluhisho la virusi vya corona kutoka kwa kampuni kama ya Inovio, inaweza ikawa inapatikana kwa nchi tajiri pekee.
Miongoni mwa wanaotoa onyo la kutokea kwa pengo katika utoaji wa chanjo ni mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza Seth Berkley.
Huyu ni mkurugenzi mtendaji wa shirika la kimataifa la chanjo- Gavi, katika mashirika ya sekta za kibinafsi na ya umma yaliyojitolea kuongeza upatikanaji wa chanjo kati nchi 73 maskini zaidi duniani.