Oppo R9 plus ni simu ya 2016. Originally inakuja na Android 5.1 na unaweza ku update mwisho Android 6.
Tofauti na hapo kupata updates zaidi ni mpaka uende ku unlock boatloader na ku install custom ROM ambayo itakupa newer updates. Kama hujui jinsi ya kufanya hivyo usijaribu maana ni complicated na ukikosea unaweza kuharibu simu yako