Je, inawezekana kubadili mother board na kuweka tofauti na ile ya C.P.U yako?

Joined
Mar 24, 2020
Posts
44
Reaction score
89
Habari zenu wana jf,

Nilikuwa naomba nipate msaada kuhusu computer hardware mimi sina uzoefu sana na I.C.T ila niko inspired nayo shada ni C.P.U yangu ni aina ya DELL dimension 4100 kiukweli ni ya zamani hivyo nilikuwa natamani niifanyie maboresho.

Swali
Je, nina weza kuchange motherboard iliyopo kwa sasa na kuweka mother board tofauti na C.P.U yangu?
 
unaweza modify vitu ambavyo vya zaman ikawa upgradeD
 
Habari zenu wana jf,

Nilikuwa naomba nipate msaada kuhusu computer hardware mimi sina uzoefu sana na I.C.T ila niko inspired nayo shada ni C.P.U yangu ni aina ya DELL dimension 4100 kiukweli ni ya zamani hivyo nilikuwa natamani niifanyie maboresho.

Swali
Je, nina weza kuchange motherboard iliyopo kwa sasa na kuweka mother board tofauti na C.P.U yangu?
Ndio mkuu inawezekana, ila desktop yako ni ya kizamani sana enzi za pentium 3, ram za sdram, hdd probably ide etc.

Hivyo ukibadili motherboard utahitajika pia kubadili cpu, ram, hdd etc. Kifupi hapo una case tu.

Ushauri nunua tu desktop ya pentium/celeron gen nzuri around 4th to 7th gen unazipata chini ya laki 2 then mdogo mdogo unai upgrade.
 
Back
Top Bottom