Je, inawezekana kubadilisha kioo cha TV?

Je, inawezekana kubadilisha kioo cha TV?

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu wana JF, poleni kwa majukumu ya pilika pilika ya kutafuta pesa.

Jamani naombeni ushauri wenu. Nyumbani nina TV aina ya Samsung zile za South Africa inch 32.

Leo dogo ameiangusha hiyo TV kwahiyo kioo kinaonyesha rangi rangi tu. Je, kuna uwezekano wa kutengenezwa kwa fundi iyo TV ama nifanyaje? Ushauri wenu muhimu sana
 
Kuna wale jamaa jukwaa la science and tech, pale kuna wataalam na ma-expert..ebu jaribu kupost pale. Eana connection
 
Habari zenu wana jamii forum,poleni na majukumu ya pilika pilika ya kutafuta pesa,Jamani naombeni ushauri wenu Nyumbani nina tv aina ya Samsung zile za South Africa inch 32,Leo dogo ameiangusha iyo tv kwaiyo kioo kinaonyesha rangi rangi tu,Je kuna uwezekano wa kutengemea kwa fundi iyo tv ama nifanyaje,Ushauri wenu muhimu sana
Jipange ununue nyingine mafundi wa TZ watakula pesa yako bure ukijajitambua utakuwa umetumia pesa ya kutosha kununua TV nyingine mimi ilishanikuta mkuu!
 
Jipange ununue nyingine mafundi wa TZ watakula pesa yako bure ukijajitambua utakuwa umetumia pesa ya kutosha kununua TV nyingine mimi ilishanikuta mkuu!
Leo nimeenda kwa fundi mitaa ya kariakoo,nimefanikiwa kuitengeneza tv yangu ndani ya masaa mawili imetengemaa,
 
Nina shida kama hii, Dogo alipiga na mkasi akavunja kioo TV inch 43, kio kina ufa na inaonyesha picha yenye mawimbi mawimbi, niliamua kuiweka maana ilipasuliwa ikiwa na miezi 4 tu nawaza kubadilisha kioo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF, poleni kwa majukumu ya pilika pilika ya kutafuta pesa.

Jamani naombeni ushauri wenu. Nyumbani nina TV aina ya Samsung zile za South Africa inch 32.

Leo dogo ameiangusha hiyo TV kwahiyo kioo kinaonyesha rangi rangi tu. Je, kuna uwezekano wa kutengenezwa kwa fundi iyo TV ama nifanyaje? Ushauri wenu muhimu sana
Nenda katika ofisi zao kuna mafundi wao watakutengenezea kama haipo ndani ya garantii utalipia ghalama zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zile za Startime Mkuu zenye king'amuzi ndani!

Sent using Jamii Forums mobile app

habari yako nipekidogo pole sana kwa usumbufu ulioupata, tafadhari ondoa shaka na TV yako, fika ofisi za startimes zilizokaribu na wewe (kama uko Dar es Salaam unaweza fika BAMAGA hapa moja kwa moja na TV yako). Tuna mafundi na spare za kutosha.
 
Sa
Leo nimeenda kwa fundi mitaa ya kariakoo,nimefanikiwa kuitengeneza tv yangu ndani ya masaa mawili imetengemaa,
Sasa uiweke ukutani ifungwe yatakukuta tena dogo ataipitia tena
 
Back
Top Bottom