Jipange ununue nyingine mafundi wa TZ watakula pesa yako bure ukijajitambua utakuwa umetumia pesa ya kutosha kununua TV nyingine mimi ilishanikuta mkuu!Habari zenu wana jamii forum,poleni na majukumu ya pilika pilika ya kutafuta pesa,Jamani naombeni ushauri wenu Nyumbani nina tv aina ya Samsung zile za South Africa inch 32,Leo dogo ameiangusha iyo tv kwaiyo kioo kinaonyesha rangi rangi tu,Je kuna uwezekano wa kutengemea kwa fundi iyo tv ama nifanyaje,Ushauri wenu muhimu sana
Wako wapi hso jamaa?Kuna wale jamaa jukwaa la science and tech, pale kuna wataalam na ma-expert..ebu jaribu kupost pale. Eana connection
Leo nimeenda kwa fundi mitaa ya kariakoo,nimefanikiwa kuitengeneza tv yangu ndani ya masaa mawili imetengemaa,Jipange ununue nyingine mafundi wa TZ watakula pesa yako bure ukijajitambua utakuwa umetumia pesa ya kutosha kununua TV nyingine mimi ilishanikuta mkuu!
Hongera mkuu!Leo nimeenda kwa fundi mitaa ya kariakoo,nimefanikiwa kuitengeneza tv yangu ndani ya masaa mawili imetengemaa,
Ile tv nimeshairekebishaBora ununue mpya
Ndio unaweza kubadilisha kioo,mie nimeweza kubadilisha na imetengemaa vizuri tu yaani huwezi kuaminiNina shida kama hii, Dogo alipiga na mkasi akavunja kioo TV inch 43, kio kina ufa na inaonyesha picha yenye mawimbi mawimbi, niliamua kuiweka maana ilipasuliwa ikiwa na miezi 4 tu nawaza kubadilisha kioo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aina gani iyo tv yakoNina shida kama hii, Dogo alipiga na mkasi akavunja kioo TV inch 43, kio kina ufa na inaonyesha picha yenye mawimbi mawimbi, niliamua kuiweka maana ilipasuliwa ikiwa na miezi 4 tu nawaza kubadilisha kioo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zile za Startime Mkuu zenye king'amuzi ndani!Ni aina gani iyo tv yako
Nenda katika ofisi zao kuna mafundi wao watakutengenezea kama haipo ndani ya garantii utalipia ghalama zakeHabari zenu wana JF, poleni kwa majukumu ya pilika pilika ya kutafuta pesa.
Jamani naombeni ushauri wenu. Nyumbani nina TV aina ya Samsung zile za South Africa inch 32.
Leo dogo ameiangusha hiyo TV kwahiyo kioo kinaonyesha rangi rangi tu. Je, kuna uwezekano wa kutengenezwa kwa fundi iyo TV ama nifanyaje? Ushauri wenu muhimu sana
Sasa uiweke ukutani ifungwe yatakukuta tena dogo ataipitia tenaLeo nimeenda kwa fundi mitaa ya kariakoo,nimefanikiwa kuitengeneza tv yangu ndani ya masaa mawili imetengemaa,
Gharama zake zikoje mfano Samsung nchi"40" kubadilisha kioohabari yako nipekidogo pole sana kwa usumbufu ulioupata, tafadhari ondoa shaka na TV yako, fika ofisi za startimes zilizokaribu na wewe (kama uko Dar es Salaam unaweza fika BAMAGA hapa moja kwa moja na TV yako). Tuna mafundi na spare za kutosha.
Nina planet note smartphone naweza kupata display yake?habari yako nipekidogo pole sana kwa usumbufu ulioupata, tafadhari ondoa shaka na TV yako, fika ofisi za startimes zilizokaribu na wewe (kama uko Dar es Salaam unaweza fika BAMAGA hapa moja kwa moja na TV yako). Tuna mafundi na spare za kutosha.