Je, inawezekana kubadilisha kioo cha TV?

Hajto naomba unipe number za hao mafundi maana yangu nimenunua hata Dec 2019 watoto wapiga na Kioo ukikishika hakionyeshi kupasuka ila ukiwasha ndio unaona mistari na wino mweusi... Samsung 49inch 4k.Usawa huu nikatoe tena 1.5m ya TV ngumuu mazee...nakuomba sana unipe hizo namba mkuu
 
Leo nimeenda kwa fundi mitaa ya kariakoo,nimefanikiwa kuitengeneza tv yangu ndani ya masaa mawili imetengemaa,

Jamaa hapa amesema alifanikiwa nataka jua hao mafundi na yeye baada kurekebishiwa kuna utofauti wowote ule?
 
Jamaa hapa amesema alifanikiwa nataka jua hao mafundi na yeye baada kurekebishiwa kuna utofauti wowote ule?
Ni kweli kabisa nilifanikiwa kubadilisha kioo ila kwa gharama ya shilingi laki mbili na nusu
 
Ni kweli kabisa nilifanikiwa kubadilisha kioo ila kwa gharama ya shilingi laki mbili na nusu
Sasa mkuu hapo umeokoa nini si bora ungeuza screpa ukaongeza pesa ukachukua mpya? Hizo Samsung za Sauz nilipo wanauza 480k kwa inch 32 sijui wew ulichukua bei gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kupambana kuuza scraper sio kazi ndogo na ujue unawauzia mafundi na sio wateja wakawaida kama dukani.Fundi lazima akulalie,asikupe yote pesa yako,pengine akwambie iache nikipata mteja wa kumbadikishia vfaa nikiuza nitakupa hela yako ama nitakumalizia hela yako...
 
Jamanii nataka kununua TV kwa wajuzi nitajuaje! tv yenye kioo chenye kuonyesha high quality ya picha??kwa kuangalia specification zinanzia namba ngapi ubora wa picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishi Bunda?

Dogo mtundu sana huyo mr Amos



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…