alvin maro
Member
- May 14, 2015
- 7
- 22
Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa, umekwisha afkyanguNilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Jamani muwe makini mimi nikinusurika na hili janga ndio naacha kabisa mapenzi! Ni bora nipige nyeto
Yaani we acha tu hapo ndyo huwa tunapoteaHaya mambo haya, Mungu atuokoe tu. Nyege kitu kingine mazee. Bila kuvaa gwanda mi sipigi hata kwa dawa, shida inakuja mkishazoeana, kinachofwata ni assumptions tu kumbe ndio wafwaa hvyo.
At tyms ukiwaza unaona bora nyeto kitandani every morning [emoji23][emoji23] maana hali mbaya mtaani huko.
Ka vp usipime mpaka uone unakonda konda flan hivi. Lol