Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

Ni asilimia ndogo sana kuna mtu alopona chupuchupu alisex na mdada alive athirika so kuwa makin
 
Kama ulimuandaa vizuri akalainika Puch basi naamini huwezi pata
 
Nilipima wiki mbili zilizopita nilikua negative ila sasa wakasema majibu ya uhakika ni baada ya miez mitatu sasa naona mbali na ndio kwanza nimemaliza mwez sasa nashindwa kiaminibmajibu ya mara ya kwanza
 
Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Daa, umekwisha afkyangu
 
Haya mambo bana, Mungu atuokoe tu. Nyege kitu kingine mazee. Bila kuvaa gwanda mi sipigi hata kwa dawa, shida inakuja mkishazoeana, kinachofwata ni assumptions tu kumbe ndio wafwaa hvyo.

At tyms ukiwaza unaona bora nyeto kitandani every morning [emoji23][emoji23] maana hali mbaya mtaani huko.

Bob jikaze ukapime tu.
 
Je ulitumia kinga au laah? Pili nature ya mwanamke uliyekuw nae alikuw mkavu au alkuw na maji mengi yanayosaidia kupunguza msuguano, na ulimwandaa vzur kabla ya kuanza? Coz michubuko inayozungumziwa ni kdg sana hii ni kutokana na sehem hzo za mwanamke ku-contain smooth layer so michubuko kutotokea n 20% ya 100%. Bt n vizur ukaenda kupima kwa uhakika zaid
 
Ngoja itabidi niende wiki ijayo maana wiki hii sina muda kabisa nashukuru kwa ushauri
 
Haya mambo haya, Mungu atuokoe tu. Nyege kitu kingine mazee. Bila kuvaa gwanda mi sipigi hata kwa dawa, shida inakuja mkishazoeana, kinachofwata ni assumptions tu kumbe ndio wafwaa hvyo.

At tyms ukiwaza unaona bora nyeto kitandani every morning [emoji23][emoji23] maana hali mbaya mtaani huko.

Ka vp usipime mpaka uone unakonda konda flan hivi. Lol
Yaani we acha tu hapo ndyo huwa tunapotea
 
Back
Top Bottom